Ni rafiki yangu wa faida kwa miaka mingi, tumevuka milima na mabonde, alipopata mchumba akaniambia tukafuata mahali tukafanya send-off akaolewa huko, na mimi nilipooa alishiriki kwa hatua zote. Akigombana na mme wake nawatuliza.
Nikiwa na shida na hela ananisaidia hata nisipolipa haina shida...