putin

Vladimir Vladimirovich Putin (; Russian: Владимир Владимирович Путин, romanized: Vladimir Vladimirovič Putin, Russian pronunciation: [vɫɐˈdʲimʲɪr vɫɐˈdʲimʲɪrəvʲɪtɕ ˈputʲɪn]; born 7 October 1952) is the president of Russia since 2012, previously holding the position from 2000 until 2008. In between his presidential terms, he was also the prime minister of Russia under President Dmitry Medvedev.
Putin was born in Leningrad and studied law at Leningrad State University, graduating in 1975. Putin was a KGB foreign intelligence officer for 16 years, rising to the rank of Lieutenant Colonel before resigning in 1991 to enter politics in Saint Petersburg. He moved to Moscow in 1996 and joined president Boris Yeltsin's administration where he served as director of the FSB, the KGB's successor agency, and then as prime minister. He became acting president on 31 December 1999, when Yeltsin resigned.
During his first presidency, the Russian economy grew for eight straight years, and GDP measured in purchasing power increased by 72%. The growth was a result of the 2000s commodities boom, recovery from the post-Communist depression and financial crises, and prudent economic and fiscal policies. In September 2011, Putin announced he would seek a third term as president. He won the March 2012 presidential election with 64% of the vote. Falling oil prices coupled with international sanctions imposed at the beginning of 2014 after Russia's annexation of Crimea and military intervention in Eastern Ukraine led to GDP shrinking by 3.7% in 2015, though the Russian economy rebounded in 2016 with 0.3% GDP growth and the recession officially ended. Putin gained 76% of the March 2018 presidential vote and was re-elected for a six-year term that will end in 2024.Under Putin's leadership, Russia has experienced democratic backsliding. Experts do not generally consider Russia to be a democracy, citing purges and jailing of political opponents, curtailed press freedom, and the lack of free and fair elections. Russia has scored poorly in Transparency International's Corruption Perceptions Index, Economist Intelligence Unit's Democracy Index and Freedom House's Freedom in the World index (including a record low 20/100 rating in the 2017 Freedom in the World report, a rating not given since the time of the Soviet Union). Human rights organizations and activists have accused Putin of persecuting political critics and activists, as well as ordering them tortured or assassinated; he has rejected accusations of human rights abuses. Officials of the United States government have accused him of leading an interference program against Hillary Clinton in support of Donald Trump during the U.S. presidential election in 2016, an allegation which both Trump and Putin have frequently denied and criticized.

View More On Wikipedia.org
  1. Ziroseventytwo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Russia na Vladimir Putin, jifunzeni kwa Israel ya Netanyahu.

    Game inaanza tu. Maafisa wa ngazi za juu kabisa kwenye jeshi wanafyekwa kule iran. Wanasayansi wa maswala nyuklia nao wameliwa vichwa. Putin unatuangusha sana. Kumwacha Zeleskyy kuendelea kuzurura kote ulaya ba marekani kuomba msaada wa kupambana na nyie mjue hatuwaelewi!! Malizaneni na huyu...
  2. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bonge la nyimbo Putin, trump ft kiduku

    https://www.instagram.com/p/DGslSQOCtAr/
  3. matunduizi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Putin akiendelea kuichekea Ukraine: NATO italisambaratisha taifa hilo siku chache zijazo

    Tukio la Drone za Ukraine kuteketeza madege ya thamani ya trillions za shilingi, Tena madege yaliyo ndani kabisa mwa Urusi ni tishio kuu ambalo likipuuzwa litakalofuata litavuja UTI wa magongo wa Jeshi la Russia. Hivi juzi nimesoma mamia ya document zenye picha na taarifa nyeti za Siri za urusi...
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kremlin yasema hakuna mipango ya Putin kuzungumza na Trump

    Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov, amesema rais Vladimir Puin hana mipango yoyote ya kuzungumza na rais wa Marekani Donald. Hivi Karibuni Trump ameonesha hadharani kukasirika kwake na rais huyo wa Urusi, akionya wiki hii kwamba Putin anacheza na moto kwa kukataa kujihusisha na mazungumzo...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Donald Trump amwambia Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuwa anacheza na moto

    "Kitu ambacho Vladimir Putin hajui ni kuwa kama sio mimi mambo mengi mabaya yangekuwa yameitokea Urusi, namaanisha MAMBO MABAYA. Anacheza na moto! Donald J. Trump Rais wa Marekani Mei 27, 2025 ======== "What Vladimir Putin doesn’t realize is that if it weren’t for me, lots of really bad...
  6. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump amuita Putin "kichaa" baada ya Urusi kurusha makombora 360 kwenda Ukraine siku ya Jumapili

    Wakuu, Mnakumbuka Trump alivyoingia madarakani alijinadi akisema kuwa anammudu Putin na kwamba akiingia tu madarakani ataimaliza hiyo vita "ON DAY ONE?" Yaani it seems kabisa matarajio yake na alichokutana nacho ni tofauti kabisa. Naona sio Putin wala Zelensky wanayemsikiliza. Ni kama he was...
  7. enzo1988

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh,kumbe Putin alinusurika kifo huko Kursk! Haya mashambulizi mazito ya anga ni kulipa kisasi!

    Helikopta iliyombeba Rais wa Russia, Vladimir Putin, ilikumbwa na mashambulizi makali ya ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine akiwa katika ziara mkoani Kursk mapema wiki hii, kwa mujibu wa kauli ya kamanda wa kikosi cha ulinzi wa anga, Yury Dashkin. Putin alitembelea Mkoa wa Kursk...
  8. Askarimaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zelensky amewasili Uturuki kwa Majadiliano huku Putin ameshindwa kuhudhuria

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore akikutana na Putin na akikutana na waafrika wenzie

    Ukoloni hauwezi kuisha. Sema tu mwafrika anachagua Mzungu ambaye ana endana na maslah yake. Hapa unamwona Dogo Bastola hana na Gloves kavua amsalimie Mbabe Putin. Sasa umkute anaonana na Blacks wenzie au wale wazungu ambao hawalindi maslahi yake. Hakuna kiongozi wa Kiafrika hana Bwana...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore akutana uso kwa uso na Rais Wa Urusi. Amsalimia kwa heshima bila mbwembwe za kuweka silaha kiunoni au kutoa tano

    Ndugu zangu Watanzania, Kumbe Rais Wa Burkina Faso Ibrahim Traore tabia ya kufanya mbwembwe za kuweka Silaha Kiunoni ikiwa nje nje pamoja na kusalimia watu na viongozi mbalimbali kwa kuwapa Tano anafanyia huku huku Afrika tu na siyo nje ya mipaka ya Afrika. Kwa hakika huyu kijana inatakiwa...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Putin atamka kumlinda Raisi wa Burkina Faso " Ibrahim Traore" dhidi ya mataifa yanayotaka kumkamata

    VLADIMIR PUTIN "Hakuna kitu kitakachompata Ibrahim Traoré ilimradi mimi bado niko hai. Marekani au Ufaransa hawana haki ya kumkamata Rais wa taifa huru la Afrika." __ Rais wa Urusi, Vladimir Putin. "Nataka kufanya mambo kuwa wazi kabisa. Rais Ibrahim Traoré alinifata baada ya yeye mwenyewe...
  13. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yakiri kupelekea majeshi yake Ukraine kumsaidia Putin

    Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya "ukombozi" wa Kursk, ikinukuu Kifungu cha 4 cha Mkataba wa Ushirikiano wa Kikakati wa Korea Kaskazini na...
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Vladimir Putin akishiriki Ibadan ya Pasaka, huenda akaacha mauaji yake na kumrudia Yehova

    Huyu jamaa anampenda Mungu lkn na Dunia anaipenda pia
  16. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vladimir Putin ataka mateka wa Kirusi kuishukuru Hamas kwa kuwaachia huru

    Wakuu, Vladimir Putin alikutana na Sasha Troufanov, mateka wa Kirusi-Mwizraeli aliyeachiliwa baada ya kushikiliwa kwa karibu siku 500 huko Gaza, na kumhimiza amshukuru mtekaji wake wa Hamas kwa “kitendo cha kibinadamu” cha kumuachilia. “Ukweli kwamba uliweza kuachiwa ni matokeo ya kuwa Urusi...
  17. Echolima1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Trump, Steve Witkoff anakutana na Putin huko St Petersburg

    Baada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
  18. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

    Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
  19. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump na Putin wakubaliana kumaliza vita vya Ukraine na Urusi

    "Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine. Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

    Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel. Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
Back
Top Bottom