putin

Vladimir Vladimirovich Putin (; Russian: Владимир Владимирович Путин, romanized: Vladimir Vladimirovič Putin, Russian pronunciation: [vɫɐˈdʲimʲɪr vɫɐˈdʲimʲɪrəvʲɪtɕ ˈputʲɪn]; born 7 October 1952) is the president of Russia since 2012, previously holding the position from 2000 until 2008. In between his presidential terms, he was also the prime minister of Russia under President Dmitry Medvedev.
Putin was born in Leningrad and studied law at Leningrad State University, graduating in 1975. Putin was a KGB foreign intelligence officer for 16 years, rising to the rank of Lieutenant Colonel before resigning in 1991 to enter politics in Saint Petersburg. He moved to Moscow in 1996 and joined president Boris Yeltsin's administration where he served as director of the FSB, the KGB's successor agency, and then as prime minister. He became acting president on 31 December 1999, when Yeltsin resigned.
During his first presidency, the Russian economy grew for eight straight years, and GDP measured in purchasing power increased by 72%. The growth was a result of the 2000s commodities boom, recovery from the post-Communist depression and financial crises, and prudent economic and fiscal policies. In September 2011, Putin announced he would seek a third term as president. He won the March 2012 presidential election with 64% of the vote. Falling oil prices coupled with international sanctions imposed at the beginning of 2014 after Russia's annexation of Crimea and military intervention in Eastern Ukraine led to GDP shrinking by 3.7% in 2015, though the Russian economy rebounded in 2016 with 0.3% GDP growth and the recession officially ended. Putin gained 76% of the March 2018 presidential vote and was re-elected for a six-year term that will end in 2024.Under Putin's leadership, Russia has experienced democratic backsliding. Experts do not generally consider Russia to be a democracy, citing purges and jailing of political opponents, curtailed press freedom, and the lack of free and fair elections. Russia has scored poorly in Transparency International's Corruption Perceptions Index, Economist Intelligence Unit's Democracy Index and Freedom House's Freedom in the World index (including a record low 20/100 rating in the 2017 Freedom in the World report, a rating not given since the time of the Soviet Union). Human rights organizations and activists have accused Putin of persecuting political critics and activists, as well as ordering them tortured or assassinated; he has rejected accusations of human rights abuses. Officials of the United States government have accused him of leading an interference program against Hillary Clinton in support of Donald Trump during the U.S. presidential election in 2016, an allegation which both Trump and Putin have frequently denied and criticized.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Washirika wa Putin Waanza Kutoa Milio - Wakiwa na Shida Hana Msaada

    Wakati Rais Vladimir Putin akikazia mapenzi yake kwenye vita vya Urusi nchini Ukraine, washirika wake wa kimkakati kote duniani wamebaki wakiishi kwa hisia ya kupuuzwa — au hata zaidi. Nchini Venezuela, maafisa sasa wanaona kuwa uhusiano wao wa usalama wa miaka mingi na Moscow ulikuwa “paper...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Trump ni babu mmoja mtu wa mishono, hii Putin ilimfanya kuwa kimya

    Mwaka 2025 Putin alifika USA ila baada ya kupewa heshima za kijeshi na kuongozana naye mara Putin anaona dege la B-2 likipitishwa makusudi na Trump alikuwa anamkumbusha kule Iran. 😁" Who are you " Hata Masafa ya TBC fm uwezi kutumia.
  3. Mnyenz

    JamiiForums Tanzania Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  4. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin: Kama Ulaya inataka vita na Urusi tupo tear ata sasa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema hawana nia ya kupigana na ulaya ila ikiwa ulaya na vita na Russia basi wao wapo teari Ata sasa
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Putin anachofanya ni PR na siasa ila ni ngumu sana kuizuia kansa na nitakupa na sababu

    Kumeibuka habari kwamba Russia wamekuja na kinga ya cancer watu wanashangalia ukweli ni kwamba sidhani kama hiyo dawa itafanikiwa kirahisi na ntakupa na sababu Sifa za cell za Cancer Kila cell ndani ya mwili wa binadamu zina-mda wake wa kuishi na baada ya hapo zinakufa na kuja nyingine, cell za...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Xi, Putin, na Kim wakiingia kwenye uwanja wa gwaride la kijeshi mjini Beijing

    Sera zisizotabirika za Rais Trump zinawafanya baadhi ya viongozi wa mataifa duniani kuzidi kushikamana! Ila kidogo kidogo hawa Wachina wanakuja juu sana kiteknolojia, hususan kwenye vifaa vya kijeshi. Kwa sasa yawezekana China ndo taifa la pili kuwa na jeshi bora duniani. Na yawezekana hawako...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

  10. D

    JamiiForums Tanzania Alichosema Putin kuhusu Afrika

    Kama ulikuwa hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA, wacha nikufahamishe: RAIS wa URUSI, Mheshimiwa VLADIMIR PUTIN, Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa: Kuna watu wananilaumu mimi na serikali yangu kwamba, kwanini naingilia masilahi yao kwa kuamua kumsaidia TRAORE. Sasa leo wacha...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Zelensky asema yupo teari kukutana na Putin Moscow ikiwa atapatiwa hakikisho la usalama.

    Mliosema hawezi kwenda mwamba huyu hapa😀😀😀
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Putin katika harakati ya kuunda silaha inayoweza kusafiri umbali wa kilomita 3.2 kwa sekunde

    Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyekutana na Trump Alaska hakuwa Putin halisi, alikuwa ni moja ya watu waliotengenezwa kufanana na Putin

    Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi unaotolewa... Inaonekana huyu anamashavu makubwa. Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Upendo wa Trump kwa Putin ni wa ajabu sana

    Muda mfupi uliopita, Donald Trump alizungumza kwenye Fox News, akitoa maoni yake kwa mara ya kwanza tangu rais wa Marekani na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukutana katika Ikulu ya White house Jumatatu, pamoja na washirika wengine wa Ulaya. Trump anasema anapanga mkutano kati ya...
  15. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa mwili wa Putin ‘hukusanya kinyesi chake anaposafiri nje ya nchi na kukirudisha Urusi pamoja naye’

    realratedred Vladimir Putin anakutana na Donald Trump huko Alaska leo kwa mazungumzo ya amani yenye umuhimu mkubwa kuhusu vita vya Ukraine, na inaripotiwa kwamba ameambatana na moja ya hatua zake za kiusalama za ajabu kabisa. Kulingana na waandishi wa habari wa uchunguzi kutoka Ufaransa, Regis...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wanao mkosoa Putin kwa kuchelewesha kumaliza operesheni yake ya kijeshi huko Ukraine wanategemea hisia zaidi ya hoja

    Leo nimekaa na kutafakari ingekuaje kama NATO na EU wasingekuq nyuma ya Ukraine katika vita vyake na Russia. Ingekua sasa Putin ameshajenga ikulu pale Kyiv na sasa anakunywa mvinyo wake pendwa Spanish red wine. Uo ni ukweli na ushahidi upo pale Georgia mwaka 2008 alipovamia kuwakomboa watu wa...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Siku zote mdogo humfuata mkubwa. Putin nmemwonea huruma. Trump ana ubabe mwingi sana

    Putin ameonekana mnyonge sana kuitwa na kwenda Marekani ni kuonesha Putin yupo hoi. Huo ni ukweli ambao hatutakubaliana nao sababu tulikuwa tunaamin Putin ni mbabe sana. Miaka yote naamini Russia/Putin mjeuri sana na mbabe. Lakini nmejifunza kitu. Haya mambo si ya ushabiki.
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHAUMMA & ACT wapongeza Mkutano wa Putin & Trump

    Inasemekana vyama vikuu vya upinzani nchini vimepongeza Mkutano wa Putin na Trump huko Alaska na kutanabaisha kwao ndio mwanzo wa Amani huko Ukraine na duniani kwa ujumla
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mambo kadhaa yaliyozua mjadala Trump alipokutana na Putin Alaska

    1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani 2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin. Trump anasema Putin amemuambia...
Back
Top Bottom