Habari wakuu:
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Kwa kufahamu kuwa kuna watu wanatamani kujifunza Programming language bahati mbaya hawana kompyuta hivyo inapelekea kukata tamaa na kuishia njiani, leo beginner mwenzio nakupa tumaini inuka uendelee.
Inawezekana ulikuwa hufahamu kuwa kuna...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
Nahitaji mtu mtaalamu wa kutengeneza website pamoja na APP awe mbobezi na mwenye uzoefu wa kutosha kama upo tayari wasiliana nami kupitia whatsapp namba 0685451700 Asante.
Habari,
Katika jitihada za kufanya Nuru (lugha ya kiprogramu ya Kiswahili) iwe rahisi kutumika, tungependa maoni yenu katika kupendekeza misamiati za programu (programming terminologies) tutakazotumia katika lugha ya Nuru.
Tunaomba ufanye maneno utayopendekeza kuwa mafupi na rahisi kuelewa...
Wakuuu za sahizi nipo Dar nilikuwa natafuta PC
Au laptop nzuri ya 2.2M kama budget yangu
Nilikuwa naomba muongozo wa sehemu nzuri ya kuipatia na pia specifications zake
Napendelea kampuni ya dell
Nipo chuo 1st year napiga IS
Shukrani 👍☺️
CODING
Coding inahusisha uandishi wa maelekezo fulani kwa lugha ambayo inaeleweka na kompyuta. Lugha hizo ni kama python, C, C++ n.k. Lakini pia coder anaweza kua na uzoefu na scripting kama vile bash scripting n.k.
Kwa ujumla coder anatakiwa kua na skills zifuatazo ama zaidi ya hizi baadhi...
This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language.
Background
This language is the direct child of a programming language called "Monkey Language" made by Thorston Ball. He...
Hello Geeks!
Leo tuongelee huu uwanja wa tech kama kichwa kinavyoeleza.
Naamini kila mmoja anajua maana ya programming.Kwamba unaandika instructions katika computer(programs) ili iweze kukupa matokeo unayotaka wewe. Ila kwa upande wa "Competitive programming" ni kwamba utafanya hiyo hiyo...
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.
Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
Wakuu Habari zenu? Kujifunza programming language wapi tunakwama kama taifa.
Kuna kipindi na mimi niliamua kujaribu kujifunga ili nianze kutengeneza app ya android, Rafiki yangu akaniambia nitumie android studio nikainstall android studio kwenye computer nikajaribu kutengeneza weather forecast...
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu...
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
Habari za wakati huu,
Tujo katika karne ya 21 tukiwa tunaelekea kumaliza robo ya kwanza ya karne hii.Wakati karne hii inaanza kwa waliokuwepo tunakumbuka kamsemo maarufu kaliitwa Y2K najua kuna ambao mnakumbuka stori za mwisho wa dunia, kibwetere na kirusi cha Y2K na vinginevyo. Anyway Y2K sasa...
Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare tu msaada please, nitashukuru sana sana...namba zangu 0693307877
Habari wakuu,
Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k
Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications, nataka nitenge muda nijifunze mwenyewe mdogo mdogo labda ntafika :D
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.