pro

  1. Phone4Sale Iphone 12 Pro Max 256 GB

    Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu. Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata...
  2. M

    Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  3. Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

    Habari. Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
  4. Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  5. iPhone 14 Pro na Pro Max zinatumia sensor ya Camera yenye uwezo wa 48Megapixels

    Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP. Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP. Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
  6. Mwonekano mpya wa simu ya OnePlus 11 Pro umevuja

    OnePlus ilikuwa ni brand nzuri sana katika design, lakini kwa zaidi ya miaka mingi inabadili mwonekano wake kila muda na fans wake hawapendi kuona kila model ina design yake. Mwaka jana katika OnePlus 10 Pro ilikuwa na mwonekano mpya wa kamera lakini wengi hawakupenda mwonekano ule. Jambo la...
  7. Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  8. Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

    Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana. Congrats 👏...
  9. Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  10. Phone4Sale Tunauza simu aina mbalimbali

    Sony Xperia XZ1 || 4GB RAM || 64GB Storage || Free Cover & USB || Used From Dubai || Price 220,000/= Call: 0765 683 574 Instagram mbinda_smartphones
  11. Xiaome redme note ten pro

    Habarini? Jamani nimepoteza charger ya Xiaome redme note ten pro(fast charger) Kwa yeyote aliyenayo naomba anicheck, nahitaji Kwa haraka, maana charger za kawaida zinasumbua.
  12. L

    Karibu Studio Iris Pro

    KARIBUNI SANA STUDIO IRIS PRO KWA MAHITAJI YAFUATAYO 1. RECORDING 2. SHOOTING 3. DOCUMENTARY BEI ZETU NI NAFUU, TUNAKUFUATA POPOTE KENYA NA TANZANIA PIGA SIMU +255737817081/+255755549602 WhatsApp +255657414142 Kwa kutazama UBORA WA KAZI ZETU FINGUA LINK IFUATAYO:- STUDIO IRIS PRO...
  13. Caesar Manzoki Ajiunga na Dalian Pro

    Mshambuliaji Cesar Manzoki amejiunga na Dalian Pro FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini China akitokea Vipers ya Uganda #mwanaspoti #mwanaspotiupdates #tunawezeshataifa
  14. Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

    Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
  15. T

    Sasa Nigeria wanatengeneza Football Games za timu zao kwenye Pro Evolution Soccer

    Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box Kazi kwenu.... https://www.reuters.com/lifestyle/sports/nigerian-soccer-joins-video-game-big-league-local-stars-get-avatars-2022-07-08/...
  16. N

    YANGA , MANARA NI WASHINDI, KUENDELEA NA KAZI YA USEMAJI KAMA P.R.O CONSULTANT

    Ifike wakati tuseme Yanga ni zawadi iliyoshushwa na Mungu kwa soka la nchi hii, kuna vi team vingine vijifunze jinsi ya kuendesha soka kwa weledi jamani Wapiga majungu mlichooonga sana eti leo hatakuwa MC si mmeona kashika mic kama MC wa kukodiwa wa kujitegemea? Yaani ulitarajia viongozi...
  17. Ukweli mchungu ambao Pro NATO Huwa hawapendi kuusikia

    Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine. memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga. Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile ifanyavyo USA. Yeye huona kama huo ni udhaifu kwa Urusi na uwezo kwa USA. Lakini Mimi Nina maoni tofauti...
  18. ADOBE ACROBAT DC PRO

    Habari Wakuu. Naomba mwenye Adobe Acrobat DC au sehemu ambayo naweza dowload sihitaji Adobe Acrobat X Pro
  19. USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

    Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu, Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
  20. Android 13 kubwa kuliko ndani ya Tecno Camon 19 pro 5g

    Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…