Computer4Sale MacBook Pro Retina Display 13 inch inauzwa

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,123
1,921
Apple MacBook Pro,
Retina Display 13inch,
16GB, HDD250GB,
Processor core i5,
Battery 8800 mAh, 9 hours
4K FaceTime camera,
High Sound Quality speakers,

Mazungumzo yapo
Bei 1.3M Tsh
 
Attachments

  • 1679576721102.jpg
    1679576721102.jpg
    44.7 KB · Views: 10
  • 1679576718544.jpg
    1679576718544.jpg
    44.2 KB · Views: 10
  • 1679576713020.jpg
    1679576713020.jpg
    43.6 KB · Views: 11
  • 1679576710136.jpg
    1679576710136.jpg
    41.7 KB · Views: 11
  • 1679576707718.jpg
    1679576707718.jpg
    40.4 KB · Views: 9
  • 1679576704205.jpg
    1679576704205.jpg
    34.6 KB · Views: 7
  • 1679576701975.jpg
    1679576701975.jpg
    46.8 KB · Views: 7
  • 1679576699842.jpg
    1679576699842.jpg
    36.5 KB · Views: 9
Panda kidogo boss hii mashine ni kali sana itakuheshimisha, kazi unapiga nyingi sana hasa kwenye graphics ndo yenyewe

Windows haiwezi kazi za graphics ?

Na graphics ndio nini kwa mfano? Kutengeneza websites?

Watumiaji computer wangapi wanafanya ma graphics ?
 
Windows haiwezi kazi za graphics ?

Na graphics ndio nini kwa mfano? Kutengeneza websites?

Watumiaji computer wangapi wanafanya ma graphics ?
Apple inaheshimisha mtumiaji, software unapakua Apple store kirahisi, kubwa zaidi ni Retina Display, Camera ina 4K video call unakuwa swafi kabisa, pia ni portable, design nzuri inavutia, ukitaka kuwa smart wewe tumia Apple boss
 
Unapigaje picha na camera ya laptop ???

Umeona tukio Kariakoo paap, unataka picha, ukazane kutoa li laptop kwenye begi uliwashe?

Na bila kutegemea hiyo apple store, computer za windows hazIpati software ?

Na huo u-portable, kwani laptop nyingine hakuna ndogo nyembamba ? Au u portable gani unazungumzia ?
 
Una hasira na Apple nini? Huwezi kulinganisha Apple na Windows hazilingani hata kidogo Ni kampuni kubwa ya kwanza kisha windows wanafuata kama unabishana nao watu watakushangaa sana rafiki yangu, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Apple ni no 1.
 
Kwa hiyo apple ni mnyonge lakini haki yake mpeni! Mnyonge kwa nani, kwa windows ? Unakiri kwamba apple ni mnyonge ?

Unauza apple, selling pitch yako ni apple itakuheshimisha! Itakuheshima kwa lipi, unakwama! Hujui Ni kama umekariri!

Ooh, iko portable, laptop nyingine sio portable ? Ohhh, ina camera, ina apple store! Nani kakwambia wapiga ma software wa Afrika wanataka ku deal na apple store?
 
Kwa hiyo apple ni mnyonge lakini haki yake mpeni! Mnyonge kwa nani, kwa windows ? Unakiri kwamba apple ni mnyonge ?

Unauza apple, selling pitch yako ni apple itakuheshimisha! Itakuheshima kwa lipi, hujui! Unakwama! Ni kama umekariri!

Ooh, iko portable, laptop nyingine sio portable ? Ohhh, ina camera, ina apple store! Nani kakwambia wapiga ma software wa Afrika wanataka ku deal na apple store?
Wewe ni Mr porojo kila mtu anaesoma comments zako anakushangaa sana, watu wanahangaika kila siku kupata Apple wewe unaleta porojo hapa, Hakuna mtu anayependa Windows ni kipato kigumu tu wala zisingenunulika, Apple ni za matajiri tu, wasiokuwa na hela ndio wataleta porojo kama zako, wewe seme Apple ni ghali acha porojo
 
DAh, kumbe apple inaheshimisha? We are locked in, trapped viciously kwenye mtego wa brand
Ukiwa na Apple thamani yako inapanda ni bidhaa za watu wanaojiweza boss, hii ni dunia nzima hata marekani ukiwa na Apple thamani yako inakuwa juu
 
Chief-Mkwawa tunaomba uje utuweke wazi kama hii itafaa kwa matumizi ya graphics, hasa AUTOCAD au arcGIS.
Apple ambazo hazina Processor ya Intel tu ndio haziwezi ku run AUTOCAD au ARCGIS, zinazokubali ni zenye storage ya 250GB, ram kuanzia 8GB nakuendelea, M1 na 2 hazikubali software za windows wamezuia
 
Ukiwa na Apple thamani yako inapanda ni bidhaa za watu wanaojiweza boss, hii ni dunia nzima hata marekani ukiwa na Apple thamani yako inakuwa juu
Sawa nilidhani ni gadget tu kumbe ni status, ok, let me stay in my cormfort zone of non apple users. Ila pia nimenotisi ma dj wanazipenda sana, nadhani haziwakwamishi katika kazi zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom