prince

A prince is a male ruler (ranked below a king, grand prince, and grand duke) or member of a monarch's or former monarch's family. Prince is also a title of nobility (often highest), often hereditary, in some European states. The feminine equivalent is a princess. The English word derives, via the French word prince, from the Latin noun princeps, from primus (first) and capio (to seize), meaning "the chief, most distinguished, ruler, prince".

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  2. VERITE-NUE

    TETESI: Mkuu wa BLACKWATER, Erik D. Prince ajikuta mikononi mwa makomando wa M23

    Taarifa ambazo hazikudhibitishwa na serikali ya DRC au kundi la M23, zimedai kwamba mnamo tarehe 5 February, 2026, bwana Erik D. Prince, mwenye kampuni ya mamluki nchini Marekani, alikamatwa na kundi la M23 huko Kivu kusini. Prince aliwasili nchini DRC akitokea nchi jirani ya Burundi...
  3. T

    The Prince (Mwana mfalme) duh! Kuna buda lililokisoma!

    Kitabu The Prince, Mwana Mfalme, ni kitabu kilichoandikwa na mwanasias wa kale katika dola la Roma, Niccolo Machiavelli, mwaka 1513. Huyu aliangalia utawala ulivyokuwa, misingi yake, kuendelea au kufifia, na hatimaye akaandika kitabu hiki kama mwongozo kwa watawala wakitaka kudumu. Moja katika...
  4. Mpwayungu Village

    Prince wa saudia Ana nguvu gani mpaka Trump ampe heshima kiasi hiki

    Jana mtoto wa mfalme wa Saudi Arabia walikutana na Trump ikulu oval office ya white house Amekaribishwa kwa uzito sana kupita hata Marais kama wa ufaransa, Ukraine na nchi zote za Africa. Hata hivyo ameahidi kuwekeza dollar trillion 1 za marekani nchini humo. Hizi pesa atazinyea wapi kama tu...
  5. ngara23

    Wanaomlaumu na kumshambulia Prince Dube ni watu wasiojua mpira

    Wachambuzi wasiojua mpira wanambagaza Prince Dube binafsi nabaki nawashangaa Sisi tuliocheza mpira na baadae tukapata course za coaching tunajua hata striker kukosa nafasi ya kukosa goal ni mzuri mno, Ile nafasi ni ngumu mno Wachambuzi wengi hawaoni potential ya Dube kwakuwa hawajui mpira...
  6. The Zanzibar Echo

    Dunia imepoa sana wako wapi kina Prince Johnson, Charles Tylor, Joseph Kony, Saadam Hussein, Osama Bin Laden, Mobutu Sese Seko, Iddi Amin Dada

    Dunia imepoa ndio unavoweza kusema. Dunia imepita watu wa maana ambao tutawakukumbuka daima. Mtu kama Joseph Kony au Mungu wa vita, pale zaire ya zaman na DRC ya sasa alipita Mobutu sese seko pale Liberia watu kama Samuel Doe, prince Johnson, Charles Tylor waliushika ulimwengu pabaya sana...
  7. H

    "prince" KATEGA na "abbas" CHIONDA

    "Prince" Katega wewe ni msaliti kwa kutumia jina la "prince" huoneshi uhalisia wa kutuujuza ASILI ya UAFRIKA wako ,badili hilo jina ili uwe mfano kwa Waafrika wote,hata Chionda achana na jina la "abbas" ni usaliti na unafiki,ni budi Waafrika wote wabadili majina yao yote kutoka ya kizungu na...
  8. Escrowseal1

    Wenje, utetezi wako kwenye interview na Prince Aloys Nyanda unatufanya wadadisi tuunganishe dots

    Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Hee na namba...
  9. Waufukweni

    Prince Dube ajiondoa katika mitandao ya kijamii

    Siku moja baada ya kuibeba Yanga SC kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya TP Mazembe, mshambuliaji Prince Dube amejiondoa katika mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki na kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa mchango wake katika kuokoa matumaini ya Yanga kwenye michuano ya...
  10. Mtu Asiyejulikana

    Mwezi July 2024 huyu Mwanayanga alimwonya Prince Dube na Aziz Ki. Wakakaidi

    Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi. Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo. Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  12. OMOYOGWANE

    Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  13. N

    Prince Dube kuanza kupachika mabao leo.

    Amani ya Bwana iwe juu yenu waungwana, tumsifu Yesu kristo, Mwanakondoo ameshinda , Asalaam aleykum.... Sina maneno mengi ila Prince Dube kuanza kufumania nyavu Leo katika mechi ambayo watoto wa jangwani watapata ushindi wa kuanzia mabao manne na kuendelea. Sasa tuache ubishi wa kizalamo ...
  14. Mindyou

    Prince Harry aripotiwa kumuomba talaka Meghan Markle. Prince Harry atapeleka wapi sura yake?

    Wakuu, Hivi Prince Harry atapeleka wapi sura yake? Baada ya kuitosa familia yake nzima ikiwemo Prince Charles na kaka yake Prince William na kuhamia Marekani, imeripotiwa hivi karibuni kuwa Harry tayari ameomba talaka kutoka kwa Meghan. Harry na Meghan bado hawajathibitisha taarifa hizi...
  15. Sodoku

    Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

    Prince wa Salman wa Saudi Arabia amesema kuwa hataki kujihusisha na mgogoro wa Palestine. Ana nchi yake na anapaswa aangalie mambo yanayohusu nchi yake. ========== Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman told US Secretary of State Antony Blinken that he does not personally care about...
  16. Damaso

    Hongera sana Collins Obinna Chibueze, Prince of Country Music.

    Nikipewa nafasi nitaje wanamuziki wangu bora kwenye muziki wa Country basi sitoweza kumuacha John Denver na nyimbo zake bora za “Take Me Home, Country Roads,” pamoja na “Thank God I’m a Country Boy”. Carrie Underwood, Keith Urban mpiga gitaa bora sana, Brad Paisley, Chris LeDoux, Webb Pierce...
  17. Waufukweni

    Davido ajiita mfalme wa Nigeria mbele ya Prince wa Saudi Arabia

    Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Davido, alipokuwa akipeana mkono na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, huko nchini Ufaransa alijigamba kwa kusema kuwa yeye pia ni mfalme wa Nigeria. "Mimi ndio mfalme wa Nigeria" - Akijua vizuri ukubwa wa cheo cha kuwa mwana wa mfalme wa Saudi Arabia.
  18. Kipenzi Changu

    Takwimu za Prince Dube striker mpya wa Yanga

    Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹 🗓️ 04 Misimu ⚽️ 34 Mabao Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi My Take Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
  19. Kichwa Kichafu

    Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

    Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans. Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka. Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa...
  20. BARD AI

    Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
Back
Top Bottom