posta

Czech Post (Czech: Česká pošta) is the state owned postal company of the Czech Republic. With its headquarters in Prague, the corporation has around 31,000 employees. Czech Post primarily serves the Czech Republic but also delivers to other countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Beira Boy

    KERO Lift za Majengo ya Victoria Plaza na Twiga House (Posta) ni mbovu, zitakuja ziue watu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo lililopo mataa ya Morogoro road na Samora street ni mbovu sana na mda wowote litauwa watu Jengo lingine ni...
  2. MOSHI UFUNDI

    Tukio la ujambazi Posta kwenye duka la kubadilishia fedha mwaka 2006

    Dar es Salaam 2006. Afisa akitazama ndizi na damu nyingi chini baada ya tukio la ujambazi. Majambazi waliiba kwenye duka la kubadilishia fedha la Macsoms-Posta, majambazi walikuja na kuigiza kama wauza ndizi, kwanza walimlima shaba mlinzi, mlinzi chali. Kisha wakatumia dk 10 tu kukwapua...
  3. A

    Tuliomba ajira za Posta Agosti 2025, mpaka leo hakuna majibu wala aliyeitwa kazini

    Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
  4. Bawabu wa pili

    Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu

    Moto mkubwa umezuka muda huu katika ghorofa la National Social Security House lililopo karibu na Mnara wa Askari, Posta jijini Dar es SalaamTayari Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limewasili eneo la tukio na hatua za kuuzima moto zinaendelea. Soma pia: Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya...
  5. Beira Boy

    Ratiba ya maandamano Kimara - Posta

    Amani iwe nanyi Tutaanzia kimara wengine tutawapitia ubungo, wengine tutakutana nao Kariakoo then tutashuka mpaka Magogoni Polisi watatupa ushirikiano wa kutosha na watakuwa wanarudi nyuma wenyewe Kadiri watakavyokuwa wanarudi nyuma ndo tutakavyokowa tunasogea Mpango umesukwa ukasukika...
  6. radhiya

    Plot For Sale at Posta City Center

    Plot For Sale. Plot details: 700sqms Location: City Center Land Status: Demolished and ready to build. Size: 680-700sqms. Permit: Residential & Commercial On the main road (prime area) Price: Tsh 4.5B. Project Prospect; you can easily build a 10-15 story building with both housing and office...
  7. T

    GE2025 CCM kujenga barabarani ya chini ( Subway road ), kutokea Posta mpaka Mbezi

    JF Nasikiliza hapa mpoto anawaelekezea wana Dar es Salaam, kuwa katika Ilani mpya ya CCM, chama kinatarajia kujenga barabara ya chini ( subway road ) kutokea Posta kuibukia Mbezi Yaani unadumbukia Posta, unajikuta Mbezi Kwa kweli MAMA mitano tena , nani kama CCM Muwe na jioni njema
  8. hamza mahundu

    KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
  9. Ojuolegbha

    Posta mpya imewekeza zaidi kwenye ubora

    📌 POSTA MPYA IMEWEKEZA ZAIDI KWENYE UBORA
  10. radhiya

    Plot For Sale at Posta City Center

    Plot For Sale. Plot details: 700sqms. Location: City Center. Land Status: Demolished and ready to build. Size: 680-700sqms. Permit: Residential & Commercial. On the main road (prime area). Price: Tsh 4.5B. Project Prospect; you can easily build a 10-15 story building with both housing and...
  11. Ojuolegbha

    Dkt. Serera aipongeza posta kwa ubunifu wa usafirishaji

    DKT. SERERA AIPONGEZA POSTA KWA UBUNIFU WA USAFIRISHAJI 📍Nanenane, Dodoma 🗓️ 06 Agosti, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirika la Posta Tanzania kwa hatua kubwa ilizopiga katika utoaji wa huduma kwa njia za kidigitali pamoja na ubunifu...
  12. radhiya

    House4Sale Apartment For Sale at Posta City Center

    Apartment For Sale - Posta City Center, DSM It's opposite Golden Jubilee tower. It has three bedrooms, one public toilet. It's on 2nd floor. The building is fairly used. No lift, garage and parking available. 5000lt water tank. Title Deed available. Selling Price: TZS 300M negotiable. For...
  13. PendoLyimo

    Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  14. Ojuolegbha

    Posta yatoa elimu kwa wanafunzi kuhusu umuhimu wa huduma za posta katika kuleta maendeleo

    Shirika la Posta Tanzania leo limepokea ugeni wa wanafunzi kutoka Shule ya Msingi Gilman Rutihinda iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Kata ya Kigogo, walipotembelea banda la Posta katika Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (SABASABA). Wanafunzi hao 89 waliongozwa na Mwalimu Mkuu Msaidizi wa...
  15. Ojuolegbha

    Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  16. K

    Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  17. kingphisher

    Posta hapa mpira unaoneshwa wapi

    Wakuu, hi ndo ile siku ya Watani wa jadi, Kkoo Derby. na siku yenyewe ni siku ya kazi, hii dabi imenikuta nikiwa kazini hapa Posta, Mtaa wa india (India street), karibu na Sabodo Car Parking. naombeni locations zinazoonesha mpira mta hii, yaani hapa hadi mtaa wa Kisutu kituoni. kama kuna mtu...
  18. B

    Malipo ya parcel posta kutoka nje ya wizi ni hizi mtupu

    Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya malipo wala risiti. Wewe ukifika unaambiwa kulipia pesa na mara nyingi ni kuanzia elf 3 hata km hiyo...
  19. R

    Historia ya Mnara wa Askari Posta, Dar es Salaam. Je, ilikuaje ikaitwa Bismini? Nini chimbuko la jina hilo? Maana yake ni nini?

    Hivi Gen Z mnajua kweli historia ya huu mnara? Kitu kilichonipa ushawishi wa kutaka kukua zaidi ni hili neno 'Bismini'. Maana yake ni nini? Na chimbuko lake ni nini? Nimejaribu kutafuta lakini hakuna walikoeleza maana ya Bismini ==== Hekaya fupi ya Mnara wa Askari Jijini Dar es Salaam Mnara...
  20. radhiya

    Apartment For Sale at Posta City Center opposite Golden Jubilee tower

    Apartment For Sale - Posta City Center, DSM It's opposite Golden Jubilee tower. It has three bedrooms, one bedroom ensuite. It's on 2nd floor. The building is fairly used. No lift, garage and parking available. Title Deed available. No pictures available. Selling Price: TZS 200M negotiable...
Back
Top Bottom