Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane.
Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na...