ARGENTINA VS EGYPT Post match Analysis

ARGENTINA VS EGYPT Post match Analysis

Davives

Senior Member
Joined
Feb 2, 2024
Posts
107
Reaction score
126
Wakuu nimemtumia siku tatu kufanya marejeo ya videos na clips mbali mbali zinazohusu matukio yaliyotokea kwenye mechi ya hatua ya 16 Bora kati ya Argentina na Egypt.
Nimefikia muafaka huu

1.Lisandro martimez alikanyagwa na ilikuw faulo ni uamuzi sahihi kufuta goli

2.Mohamed Salah alijirusha baada ya mgusano mdogo sana wa viatu kati ya yeye na Alvarez. Kwa tukio hili Salah alitakiwa apewe kadi ya njano kwa kudanganya

3.Mac Alister alivutwa na kutolew kwenye stand na mchezaji wa Egypt kipind cha kwanza .Hii ilipswa kuw penati ila refa akaa ha

4.Mac Alister alimvuta kidg mchezaji wa misri ndani ya boksi la Argentina hii pia ilitakiw iwe penati afaidike misri

Kwaiyo kiujumla maamuzi ya refaree yalibalance na hakuna aliyefaidika zaidi ya mwenzie
Kama unabisha utakuw unaongea na chuki na ushabiki na sio mpira halisi
😆😆😆😆😆😆
 
Ule mguso ulitosha kuwapa egypt penalt, mbaya zaidi kuna mtu alivutwa jezi ndani ya box, ile ni penalty..
makaveli10 mguso upi akati Salah Alikuw anaanguka baad ya kukosa control na Alikuw hayupo uelekeo w mpira yeye ND alitakiwa apewe kadi
Afu yule wa shati alishikwa nimekubali lakini ajentina na wao Kun penati walizimwa
 
Mpira ni mchezo wa ku-balance maamuzi ??
 
Haina maana hata kama Egypt walionewa rekodi ilishawekwa.
 
Ule mguso ulitosha kuwapa egypt penalt, mbaya zaidi kuna mtu alivutwa jezi ndani ya box, ile ni penalty..
Kuna member mmoja sikumbuki ID yake alisema Messi na Ronaldo ni kama wameanzisha dini yao.

Waumini wa hiyi dini wana viapo vya damu, hilo tukio la mchezaji wa Egypt kukanyagwa nilimuwekea clip hearly lakini katika hali isiyo tarajiwa jamaa hakuona.

Alichoona ni sekunde 4, nikamuwekea nyingine ya dakika 2 nayo hakuona.

Ila ile faulo iliyokataa goli la Egypt aliona.
 
Wakuu nimemtumia siku tatu kufanya marejeo ya videos na clips mbali mbali zinazohusu matukio yaliyotokea kwenye mechi ya hatua ya 16 Bora kati ya Argentina na Egypt.
Nimefikia muafaka huu

1.Lisandro martimez alikanyagwa na ilikuw faulo ni uamuzi sahihi kufuta goli

2.Mohamed Salah alijirusha baada ya mgusano mdogo sana wa viatu kati ya yeye na Alvarez. Kwa tukio hili Salah alitakiwa apewe kadi ya njano kwa kudanganya

3.Mac Alister alivutwa na kutolew kwenye stand na mchezaji wa Egypt kipind cha kwanza .Hii ilipswa kuw penati ila refa akaa ha

4.Mac Alister alimvuta kidg mchezaji wa misri ndani ya boksi la Argentina hii pia ilitakiw iwe penati afaidike misri

Kwaiyo kiujumla maamuzi ya refaree yalibalance na hakuna aliyefaidika zaidi ya mwenzie
Kama unabisha utakuw unaongea na chuki na ushabiki na sio mpira halisi
😆😆😆😆😆😆
wewe mpira huujui,adhabu haitolewi mradi kuna rafu imechezwa,bali athari ya faulo hupimwa pia kwenye kutoa adhabu.Misri hawakuwa na kocha mzoefu,ambaye anajua namna ya kuifunga mechi baada dakika chache kubaki.Hosam Hassam hana huo ujuzi
 
Kuna member mmoja sikumbuki ID yake alisema Messi na Ronaldo ni kama wameanzisha dini yao.

Waumini wa hiyi dini wana viapo vya damu, hilo tukio la mchezaji wa Egypt kukanyagwa nilimuwekea clip hearly lakini katika hali isiyo tarajiwa jamaa hakuona.

View attachment 3626961

Alichoona ni sekunde 4, nikamuwekea nyingine ya dakika 2 nayo hakuona.

Ila ile faulo iliyokataa goli la Egypt aliona.
Ni sahihi kuita dini.. watu huu mpira wana ushabiki wa kufa na kupona.
Hii ni faulo ya wazi, ukiacha hii kuna mchezaji wa egypt alishikwa jezi
 
makaveli10 mguso upi akati Salah Alikuw anaanguka baad ya kukosa control na Alikuw hayupo uelekeo w mpira yeye ND alitakiwa apewe kadi
Afu yule wa shati alishikwa nimekubali lakini ajentina na wao Kun penati walizimwa
Unaposema alikuwa anaanguka umekosea sana.
Anyway, hicho kitendo cha kukubali tu alishikwa inatosha..
 
Ni sahihi kuita dini.. watu huu mpira wana ushabiki wa kufa na kupona.
Hii ni faulo ya wazi, ukiacha hii kuna mchezaji wa egypt alishikwa jezi
Naskia ile jezi ilivutwa kwa nguvu kiasi cha kufanya hadi ichanike
 
Faulo aliyofanyiwa martinez ilirudishwa nyuma sana, ni kama ilikua inalazimishwa kutafutwa sababu ya kukataa goli. Mtu kaangushwa kwenye kona kabisa kule.

Move imeenda jamaa kachukua kijiji katoa pasi kwa salah. Salah kapiga assist ndio goli limefungwa. Mpaka wanafunga goli njia waliyopita haikua tupu kusema ile faulo ndio imewawezesha kupata goli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom