Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Ndugu wajumbe
Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu.
Uchambunzi huru.
Itakuwa na mashiko tuu kwa watu walio slow learner wasiojua mantiki ya uraia na matumizi ya kodi.
Hoja hupingwa kwa hoja
Nimesikia mahali Posho yangu kidogo niliwapa wapinzani maana walikuwa vibaya sanaa wamechoka kwenye nchi za watuu.
Uchambunzi huru.
- Serikali yao ndio iliyosababisha wakimbie nchii so hapo sijaona kosaa na ukienda maeneo mapya lazima stragglers zitokee na pesa hizo zimetoka wa serikali so muoshwa huoshwa.
- Wapinzani ni watanzania halali kabisa na wanachangia kuijenga nchi hata kama sio wao hata ndugu zao so posho aliyepewa akiwapa watanzania wenzetu sijaona shida na halali kabisaa .
- Wapinzani wanalipa kodi halali kabisa na hiyo kodi imetumika kumpa posho yeye na akaitumia kwa walipa kodi halali ,hivyo hakuna titizo maana kodi imerudi kwa walipa kodi halali na hiyo ni sera mojawapo ya Kodi.
Itakuwa na mashiko tuu kwa watu walio slow learner wasiojua mantiki ya uraia na matumizi ya kodi.
Hoja hupingwa kwa hoja