Nilisikia murilo anasema alifuata sheria kwenye lile sakata la kuwakamata watu na kuwapiga na kuwatupa porini kwamba ni la kisheria.
Mlio muhoji mbona hamkumuuliza vizuri ni sheria gani hiyo isiyo staharabika ya kutupa watu porini, mimi sijasoma sheria lakini haipo sheria kama hiyo.
Kama...
Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
Ushirikiano wa Marekani na Israel uliwaza sana namna ya kuwamaliza Hamas ambao wameonekana sugu kushindwa kwa mbinu zote zilizotumika mpaka sasa.
Chakula ikaonekana ndicho chambo kizuri cha kuwakamata baada ya kuwa wamezuliliwa kupata chakula kwa miezi kadhaa.
Ndipo ushirikiano huo ulipounda...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025.
Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama...
Naona RC chalamila alicho kuwa anatamani kitokee kimetokea na amefurahi kabisa. Anafurahia kuona watanzania wasio na hatia wala silaha wanakamatwa, wanateswa , wanavunjwa miguu na kutupwa porini.
Nchi hii kuwa na viongozi kama hawa tumefikia pabaya sana, ni heri tungekuwa na bucha za nyama za...
Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua...
Siku moja babu yangu alinisimulia hadithi hadithi ambayo mpaka leo naitafakari.
Babu yangu alinisumulia umuhimu wa mtoto wakiume ktk familia na kwa nini kila alipo kuwa akimuagiza mama alimwambia nenda na Yusuph.
Historia ya kijiji chetu kina manyani wengi na sio kwamba niwengi ila niwakorofi...
Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
Kuna ukweli kwenye hili?
Anasema kuwa:
1. Anasema mpaka sasa mbona tukisema tunaenda kuangalia majengo ya kale tunachokiona ni kazi ya mwarabu na mzungu, sisi ngome zetu zenye ubora kama ya hao watu ziko wapi? (Wazee wengi ne walifoka sana hapa)
2. Alisema wenzetu walikuja huku...
Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa oparesheni 'isiyo salama' inayoendeshwa na Jeshi la Polisi dhidi yao kijijini hapo
Akizungumza na Jambo TV...
Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini.
Chombo ni...
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali.
Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
Habari JF,
Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini?
Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama.
Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
Habari,
Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta.
Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sengida amejibu hoja ya Member wa JamiiForums.com aliyedai Wilaya ya Babati, Kata ya Magugu, Kijiji cha Kisangaji kuna Ugonjwa wa Mlipuko wa Kipindupindu lakini Serikali haisemi.
Kusoma hoja ya member ipo hapa - Serikali iweke wazi Ugonjwa uliopo Kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.