pombe

  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukinywa pombe zinashuka chini?

    Wakuu hivi ni kweli hayo yanayosemwa mbona mimi nakunywa najionaga kawaida tu 🤔
  2. JamiiForums Tanzania Hukumu ya mwenye kunywa pombe au kilevi chochote katika uislamu ni kupigwa viboko 80

    Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Sagini: Gongo na Pombe za asili zinaruhusiwa kutengenezwa ukiwa na Leseni maalum Kisheria

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili. Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini nikinywa pombe hata kidogo Tu kesho yake nashinda mwenye huzuni na kujihisi hatia kama vile nimeuwa mtu?

    Hii hali huwa inanitokea tena sio mara moja, yaani nikinywa pombe kesho yake nashinda na huzuni sana, mpaka muda mwingine najihisi kutaka kulia . Nilihisi ni hangover lakini hali hii sio hangover...kwanini? Au roho yangu haitaki mambo Haya nafanya kumlazimisha Tu.
  5. JamiiForums Tanzania Bongo noma sana pombe Kali zilizokuwa viroba zinauzwa Mpaka leo

    Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart. Pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Pombe mwanaharamu

    Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau? Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁 Cc: holoholo Nomadix
  7. JamiiForums Tanzania Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

    Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi Je nitafanyaje...
  8. JamiiForums Tanzania Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  9. JamiiForums Tanzania Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

    Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa. Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
  10. JamiiForums Tanzania Utata Juu ya Kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

    Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea. Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ; 1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma 2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
  11. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani John Pombe Magufuli uliyoyafanya ndio yameanza kufanyika Marekani 2025

    Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako. Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma. Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenu ma-Legendary Utafanyaje umeenda ukweni na ukawadanganya kuwa umeokoka hivyo pombe hutumii?

    Wapo watu huwa wanapenda kuficha tabia zao hadi kwa wake zao. Wapo hata humu ni walevi wanakunywa pombe ila wake zao hawajui kabisa wameshawadanganya wameokoka. Niliwahi msindikiza rafiki yangu ukweni kwakwe ambae huwa tunapiga nae vyombo kama kawaida Mke wake alikuwa amemwambia huwa hanywi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  15. JamiiForums Tanzania Mechi za Simba zilizobaki BODI ya LIGI washamaliza matokeo siku nyingi nawaonea Hawa tma Leo Bora wangekaa bar sinza wanywe pombe wageuke

    Nasikia kuna Katibu kanaitwa tma YAAN kangejua Refa ameshapewa matokeo mapema na BODI ya LIGI HATA wasingeingia uwanjani Kifupi mnaoenda kuchexa na Simba Mjuee mnapambana na BODI ya LIGI Muwe makini KUFUNGWA mtafungwa ANGALIEN usalama WA afya xenu
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeacha pombe, zinaleta roho za kimasikini. Usiingie kwenye uraibu huo

    Kwema wakuu baada ya kutumia pombe kwa kipindi cha miaka 11 tarehe 7.3.2025 nimeacha pombe Rasmi na pia nachagua Marafiki ambao hawanywi pombe bahati nzuri Mpenzi wangu Hanywi Pombe Nakushauri acha pombe.
  17. JamiiForums Tanzania RC Dodoma: Wananchi tunzeni chakula, msitumie nafaka kutengeneza pombe kuna ukame

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini. RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuacha pombe au kilevi chochote ?

    Kuna mwamba yeye alikua anakunywa pombe anavuta na sigara. Kulingana na yeye sigara ina stim sana ukiikosa unaweza ukaenda kuitafuta hata usiku wa manane, Sasa siku moja ilikua ni usiku sana alafu mvua inanyesha na hana sigara ilibidi aende kutafuta duka lililo wazi akakosa duka lililo wazi...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa wanywaji.

    Drink responsibly
  20. JamiiForums Tanzania Sijui kuwa kuna pombe halamu na halali!

    Ninachojua pombe pombe tu Kuna za wanaojifunza na makonki kama sisi Sasa pombe. Nyepesi isiwe sababu ya kuzihirisha Kuna pombe haramu na HALALI pombe itabaki pombe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…