polisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: Conrad Agonza Kayoza anashikiliwa kwa kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari wa Usalama barabarani

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi mnashinikizwa na CCM kubambikia watu kesi: Ushahidi huu hapa

    Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza...
  4. JamiiForums Tanzania SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  5. R

    JamiiForums Tanzania Polisi: Dereva aliyekuwa anaendesha gari akichati na kutoa lugha chafu atiwa mbaroni

    TAARIFA KWA UMMA DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HUKU AKICHATI, KUTOA LUGHA CHAFU ATIWA MBARONI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia, Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32 na mkazi wa Buswelu, Wilaya ya Ilemela, ambaye ni dereva wa basi la Kampuni ya Obadia lenye namba za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huko FB wananchi wanafurahia kifo cha Kamishina wa polisi. Taifa limefikia pabaya sana.

    Mtu anakufa watu wanafurahia👇
  7. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi. Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali "Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ukamataji wa POLISI usozingatia PGO, Uvaaji Sare Polisi , unaacha Loophole ambayo Wahalifu wanaitumia kufanya Utekaji ,Mauaji !

    Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!. Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?. Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !. Wahalifu , Walipa Visasi...
  9. JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Malisa amesema; 1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai 2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi 3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko 4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua 5...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi; Tumemwachia Malisa kwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake usiku wa Agosti 31, 2026, kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zikichunguzwa dhidi yake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Malisa na mwenzake walifanyiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi latakiwa kutoa taarifa kuhusu alipo Malisa GJ

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeipokea na unaifuatilia taarifa iliyotolewa na Wakili Dickson Matata tarehe 31 Agosti 2026 kuhusu kushikiliwa kwa Godlisten Malisa baada ya kuwasili katika mpaka wa Namanga. Malisa alikuwa akirejea nchini akitokea Marekani kupitia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  14. JamiiForums Tanzania Askari Polisi Mwita Milumbe ateswa na kuuwawa, Ndugu waomba msaada

    Habari ya kazi kaka. Mimi, kama mmoja wa wanafamilia, tunaomba msaada wa kutupazia sauti kuhusu Jeshi la Polisi Tanzania. Mkoani Tanga kuna unyama wamefanyiwa mdogo wangu kwa kutokukubali kuwa upande wa mauaji na utekaji wao. Amekuwa akipinga mpaka akahamishwa kituo cha kazi kutoka Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu ajira za polisi zinatoka lini?

    Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
  16. L

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa,Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi,mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda miaka...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wapata Muonekano Mpya: Rais William Ruto Azindua Sare Mpya Kiganjo

    Rais William Ruto amezindua rasmi sare mpya za maafisa wa General Duty wa Kenya Police Service katika hafla iliyofanyika Ijumaa, Agosti 28, 2026, katika Kenya Police Training College, Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Chini ya muundo huo mpya, maafisa watavaa shati za rangi ya sky blue, suruali za...
  18. JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa, JWTZ, na Jeshi la Polisi Tanzania Hivi mnatuonaje?

    Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya raia na uvunjifu mwingine wa amani hapa Tanganyika? Je, ni kwamba hamumjui, mmerogwa au...
  19. JamiiForums Tanzania Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua Aibua Madai ya “Black Site” Hurlingham: Je, Polisi Walikiuka Katiba?

    Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua ameibua madai kuhusu kuwepo kwa kituo cha polisi kisichotangazwa rasmi katika eneo la Hurlingham, Nairobi, alichokiita “Black Site.” Gachagua anadai kituo hicho kilitumika katika operesheni dhidi ya wafanyabiashara wa gesi ya LPG, ambapo mitungi mingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…