polisi

  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Leo ni Kama Tufanyapo Uchaguzi, Anayeshinda X Anatangazwa Y. Leo Maandamano Wamealikwa Wengine Wanaandamana Polisi!

    Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu. Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi na Polisi wametanda kila kona Dar

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na doria kuhakikisha usalama Sikukuu ya Sabasaba Julai 7, 2026 mkoani Dar es Salaam kufuatia Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka Kenya nako polisi wametanda wakiogopa maandamano

    Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda. Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  5. JamiiForums Tanzania Wana Jamiiforum ina maana yanayo ongelewa hapa na ndio polisi wanaenda kusema.

    Kuna habari hapa ilitoka sijajua ni nani ila alitoa tahadhari kwa viongozi wa chadema na watu wenye mapenzi na nchi wawe makini wanaweza kuvamiwa na vikundi vyenye ofisi za polisi. Ila ile mada inageuzwa kuwa wao ndio wameona
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Tumeweka askari wa kutosha sana Mtaani, hali hiyo itaendelea mpaka tutakapoona tarehe iliyopangwa tumepita kwa Usalama

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

    Sasa Waandamanaji wamegeuka wauaji hata kabla ya maandamano. Kwamba Jeshi limeshaanza kuwakamata Wanaofanya mipango hiyo ya kuua Viongozi wa Serikali. Jeshi la Polisi Tanzania limesema linaendelea kufuatilia kwa karibu viashiria vya baadhi ya watu wanaodaiwa kuhamasisha vurugu na kupanga...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kufanikiwa tatizo polisi

    Kimsingi kupitia elimu ngumu sana kufika pale unapotaka, je unadhani njia zipi za kutoboa tobo bila kujali vyombo vya usalama nichukue hatari huko.
  9. JamiiForums Tanzania Tujue Gharama inayotumika kujaza Polisi barabarani

    Kwa sasa imekuwa kawaida na watoto wamekuwa wakishangazwa na hali ya sasa. Watoto wanauliza kwanini tunaona polisi na guns mitaani? - Je wanataka kutuua? — Hii ni historia mbaya kwa TZ na kwa amani ya mchongo over 60 years. CCM mjiandae na hali hii kwa maana tatizo sio kuwa Samia hatakiwi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mtàndao wa X umefungiwa na serikali, sasa akina Msigwa, polisi and thir cronies, wanaingiaje ku post Taarifa zao?

    Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku? Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Amesikika mtu akisema "tuliona wengi wa polisi wetu wana vitambi ikabidi tuwabadilishie uniform, zile za zamani zilionyesha sana vitambi vyao"

    Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi! Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao. Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunachunguza taarifa za kikundi kukamata madereva Bajaj Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Katambi: Ukitaka kuandamana, katoe taarifa Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amezungumzia utaratibu wa maandamano na mikusanyiko ya hadhara kwa mujibu wa Katiba na Sheria, ikiwemo wajibu wa kutoa taarifa kwa Kituo cha Polisi saa 48 kabla ya kuandamana. Akizungumza leo Julai 2, 2026, Jijini Dar es salaam, Katambi amesema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

    Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol...
  15. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Jeshi la Polisi watuliza maandamano

    Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano???? Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  17. JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Mwenyekiti wa CHADEMA Mwanza Adam Chagulani akamatwa na Polisi, wanadai kaleta Vijana kutoka nchini Kenya ili waandamane

    Kupitia akaunti yake ya X, Hilda ametoa taarifa akidai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza amekamatwa ============= Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza Adam Chagulani amekamatwa na Polisi jioni hii, kapelekwa kituo cha Polisi Central Mwanza.Polisi wamembambika kesi wanadai kaleta Vijana...
  18. JamiiForums Tanzania DC Magoti-Kisarawe: Ujumbe wako toka kwa wananchi, polisi wanyanyasa kwa ruksa yako usiku wa manane!

    "Brand ya Wanaume", DC Magoti wa Kisarawe akilalamikiwa vikali baada ya polisi kuvamia nyumba na kuvunja geti. Utaratibu wa ukamataji kwa PGO umezingatiwa? Clip inazunguka mitandaoni.
  19. JamiiForums Tanzania Polisi mnayemuweka mataa ya Central azingatie muda wa SGR

    Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii. Zingatieni muda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani.
  20. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…