Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

Wanataka 2,000-5,000. Madereva na makondakta wanaona ni heri kutoa hicho kidogo na kuendelea na kazi kuliko kuanza kuvutana maana kimsingi kabisa daladala nyingi hazina sifa ya kuwa barabarani.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
madereva wa basi za mkoani wamefanya mgomo wa kienyeji leo, ndo watu hawahawa walikua miongoni mwa wanaogoma kurudi darasani, sheria za kukatwa point zimekuja wanatishia kugoma,
 
Ni wanataka rushwa tu kiongozi chini y serikali ambayo wakubwa wao wameuza Bandari na mbunga za wanyama.
Kazi ni kipimo cha utu
 
madereva wa basi za mkoani wamefanya mgomo wa kienyeji leo, ndo watu hawahawa walikua miongoni mwa wanaogoma kurudi darasani, sheria za kukatwa point zimekuja wanatishia kugoma,

Zile sheria ni kali sana kwa lifestyle yetu ya kutokufata sheria za barabarani.

Lkn ni ukweli kwamba ajali zimezidi sana, tena za Uzembe mno.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Zile sheria ni kali sana kwa lifestyle yetu ya kutokufata sheria za barabarani.

Lkn ni ukweli kwamba ajali zimezidi sana, tena za Uzembe mno.
naam mkuu afadhali umeweka wazi kwa "lifestyle yetu ya kutofata sheria za barabarani"

sheria zingekua zinafuatwa amini nakwambia hata mtu ungefika iwe kwa rto, zto na ukamuuliza barabara fulani kwanini haina alama za barabarani unasikilizika kwa wepesi, na hapo ndo tunaanza mapambano ya kudai uwajibikaji.

ajali nyingi ni uzembe wa wazi kabisa
 
Back
Top Bottom