polisi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Eneo walilosalia Waumini wa Gwajima Jumapili hapakaliki, Polisi waweka kambi

    Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa aliyesema rais amechanganyiwa na kuhamasisha tuwavamie polisi angekuwa CHADEMA asingekuwa amekamatwa?

    Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki moja hivyo Watanzania mil 65 tukilianzisha tunawamudu. Je, angekuwa ni kada wa CHADEMA angesalimika?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole. Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza. Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi kilichogharimu Shilingi Milioni 798 chazinduliwa Namtumbo Mkoani Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 798. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 20 Juni 2025 katika eneo la Namtumbo, mkoani Ruvuma...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe ahojiwa kwa saa 5, aendelea kushikiliwa polisi

    Licha ya dhamana kuwa wazi kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ameendelea kushikiliwa kituo kikuu cha polisi cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, chama hicho kimesema. Rithe alijisalimisha Polisi jana Juni 20 baada ya kupokea wito kutoka kwa maofisa wa polisi...
  7. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  8. Kibo10

    JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima ladai Polisi wameshikilia mali zao bila makabidhiano

    Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania Polisi: Sheikh Zuberi Hakutekwa Alikimbia Madeni, Akamatwa Kufikishwa Mahakamani

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) mwalimu wa dini na kiongozi katika taasisi ya Islam Foundation mkoani Singida baada ya kutengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa. Taarifa ya polisi imesema Sheikh huyo anadaiwa shilingi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

    Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Polisi yaendelea na Uchunguzi Mchungaji aliyetekwa Arusha

    Akizungumza na Mwananchi leo, Jumanne Juni 17, 2025, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ili kubaini ukweli wake. “Bado uchunguzi unaendelea kufanyika ili tujue uhalisia na ukweli wenyewe na tutaangalia kama alitekwa au kuna...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Lori laua wanne na kujeruhi 15, Rais Samia atoa pole

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wananchi wa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu kwa vifo vya watu wanne kufuatia ajali ya lori aina ya Scania iliyotokea katika Kijiji cha Mwamishari Juni 16 saa 3 usiku, akisema watu hao walikuwa kwenye usafiri wa kwenda kwenye mkutano wake. Kabla ya kufika...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini

    Naibu Inspekta Jenerali (DIG) wa Huduma ya Polisi ya Kenya, Eliud Kipkoech Lagat, ametangaza rasmi kujiondoa kwa muda kazini wakati uchunguzi ukiendelea kuhusu kifo tata cha mwanablogu Albert Ojwang’, ambaye alikamatwa kufuatia malalamiko ya kashfa yanayodaiwa kuwasilishwa na afisa huyo wa juu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muumini wa Askofu Gwajima akifanya maombi ndani ya gari la Polisi

    Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Gwajima na waumini wake wafanye maombi makubwa ya kamatakamata kuwazuia polisi wanaofunga kanisa lao. Kwani wenye kosa ni waumini au ni askofu?

    Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi yatumia mabomu kuwatawanya waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya waumini wa wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church). Waumini hao walikuwa wanaandamana kwenye njia ya Morogoro Road wakiwa na mabango yenye jumbe mbalimbali. Baadhi ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wavunja Ibada ya Kanisa la Ufufuo na Uzima, wawataka Waumini kutawanyika

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam limechukua hatua ya kuwataka waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutawanyika mara moja na kwa amani, baada ya kanisa hilo kuendesha ibada njee ya eneo la kanisa licha ya agizo rasmi la kusitishwa kwa shughuli zake. Tukio hilo limetokea siku chache tu baada ya...
Back
Top Bottom