Salaam!
Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!
Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...