polisi

  1. A

    PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

    Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM. Wananchi wengi...
  2. Polisi Mbeya: Dhahabu ya Tsh. Bilioni 1.81 imekamatwa ndani ya miaka minne wakati ikitoroshwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya tunajivunia mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan katika Nyanja mbalimbali ikiwemo ya rasilimali watu, vifaa na majengo...
  3. Kuna watu wanakuja JamiiForum kuchukua namba za watafuta ajira ili wawatapeli , so kuweni makini kuna hizi namba polisi zifatilieni wanatapeli vijana.

    +255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo -Form elfu 40K -Chumba elfu 20K Ukiangalia watu Kama hawa...
  4. Ajali zinamaliza Raia: Ninamshauri, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuwahamisha Kamanda wa Polisi wa Mikoa ya Geita, Mbeya, na Kilimanjaro

    Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, tumeshuhudia ajali nyingi na kubwa nchini ambazo zimeleta madhara makubwa, ikiwemo mauaji na watu wengi kupata vilema vya kudumu. Hali hii ni ya kutisha na inahitaji hatua thabiti kuchukuliwa ili kuokoa maisha na kuhakikisha usalama wa raia. Kwa...
  5. M

    TFF na Bodi ya Ligi, igeni mfano wa Jeshi la Polisi katika kushughulika na wahuni kwenye mpira wetu

    Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli. Hongereni Jeshi la...
  6. 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC Tabora amethibitisha “Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
  7. Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  8. L

    Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kina kubaini watu wote walioteswa na kujeruhiwa kwa vipigo na CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi mwenye cheo cha Mwenezi wa BAWACHA Taifa anaweza kutendewa unyama wa aina ile wa kupigwa kikatili...
  9. Kenya: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya mashabiki katika mechi ya Gor Mahia vs AFC Leopards

    Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards. ================= Leopards, Gor fire blanks in season's first Mashemeji Derby AFC Leopards and Gor Mahia played out a 0-0 draw in a Kenyan...
  10. Je, hii ina maana trafic polisi huwa wanatuonea barabarani?

    Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
  11. M

    KWENYE KAZI ZA POLISI MWENYE KUJUA HILI ANISAIDIE

    Hapo nmekwama na sjui lakufanya
  12. Pwani: Watu wasiojulikana wakidaiwa kuwa ni polisi wabomoa nyumba na kuchoma moto mali za wananchi wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo

    Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo. Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
  13. Mfumo wa ajira za polisi mwaka huu una shida gan?

    Shalom Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma. Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
  14. Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  15. Nifanye nini au nizingatie Nini ili kujiepusha na kesi za mahakamani na purukushani za polisi?

    Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla. Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi. Ahsante sana.
  16. Maiti ya Polisi wa Kenya yadhalilishwa baada ya kuuawa na gangs wa Haiti

    Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
  17. Mwananchi Amshukuru Mkaguzi wa Polisi kwa Msaada wa matibabu, amuomba tena Msaada huo

    Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa mwananchi wa kata yake Emmanuel Bhoke Jackson baada ya kufanikisha huduma za awali katika hospitali ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza. kutokana na...
  18. PreGE2025 POTOSHI Picha hizi za magari ya polisi yana rangi ya kijani

  19. PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

    Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
  20. Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…