polisi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi

    Tanzania hatuna Polisi tuna Jeshi la Raisi linaitwa Polisi. Tanzania tuna kitengo cha jeshi kinaitwa Polisi ambacho kazi yake kubwa sio kusaidia jamii kwenye mambo ya sheria bali kufuata maagizo ya kisiasa na kulinda na kuzuia vurugu. Lakini Polisi ya Tanzania inahusishwa na utekaji na waziwazi...
  2. JamiiForums Tanzania Mkishakuwa mnafanya biashara haramu hamuwezi kupelekana polisi wala mahakamani

    Kwa wale wanaofanya biashara ambazo zipo nje ya sheria ni ngumu sana kumpeleka mwenzake polisi au mahakamani kisa kamzulumu. Kwa uchafu wa CCM wa serikali ya Samia ni ngumu samia na wenzake wote wa ccm kuweza kukemeana au kufikishana polisi au mahakamani. Wanaomzunguka ndio wanaharamu wenzake...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi waheshimu maandamano yajayo ya Gen Z kama walivyoheshimu maandamano ya ‘Wakatoliki Feki’ Leo!

    Tunataka Jeshi la Polisi liheshimu (with consistency) haki ya raia ya kujieleza (freedom of expression). Leo polisi wamefanya kazi yao kwa kuzingatia sheria. Kama sote tulivyoona, hawakuvuruga maandamano ya Wakatholiki feki. Kazi nzuri! Kwa maandamano yoyote yajayo, polisi watumie hii conduct...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Trump yupo sahihi, Maduro alituma magari ya polisi kuwakanyaga waandamanaji waliomkosoa

    Binafsi naungana na Trump kuwaonya viongozi wote katiri, wenye kiburi na wasioheshimu haki za wananchi wao. Mwaka 2019, wananchi wa Venezuela waliandamana kupinga matumizi mabaya ya mali za umma, utekaji, kupotea kwa wakosoaji, ukosefu wa ajira na utawala wa sheria, Maduro aliwajibu...
  5. JamiiForums Tanzania Familia ya Clemence Mwandambo yadai haijui alipo baada ya kuchukuliwa na Polisi

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake. "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Yani kwa sasa POLISI ni kama wapo juu ya sheria na mamlaka zote wananyanyasa na kudhalilisha sana raia huku mitaani

    Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani. Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajenga kituo cha Polisi Kibosho-Moshi

    Katika juhudi za kuimarisha usalama, Umoja wa Umbwe Sinde Community umeandika historia mpya ya maendeleo ya kijamii kwa kuchukua hatua madhubuti za kuboresha usalama na huduma za afya kwa wakazi wa eneo hilo, baada ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Polisi Kibosho. Umoja huo umefanikiwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi ni wengi mtaani lakini leo ni lazima lengo litimie

    Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
  9. JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

    Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia. Nchi haina mwenye. Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Maagizo ya Waziri Mkuu kutaka UKOO MZIMA kukamatwa kwa makosa ya ndugu yao si sahihi kisheria!

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo. Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
  12. JamiiForums Tanzania Sio polisi wote wanapenda ila wengi wenu watawaponza na familia zenu

    Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita. Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa. Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
  14. JamiiForums Tanzania Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Anaandika Liberatus Mwang'ombe Mpaka uzi huu unapanda hewani, jeshi la utekaji la polisi hawajatoa kauli yeyote UPDATE Mdogo wake Thadei Kweka aitwaye JB Kweka, kupitia Club House amethibitisha kutekwa kwake. Ameeleza zaidi kuwa polisi wamekiri kumkamata. Tukio la kukamatwa kwake limejiri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wataacha lini kutumiwa na wanasiasa kufanikisha agenda zao huku wakiachwa katika umasikini?

    Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
  16. JamiiForums Tanzania Hii dunia watu makatili sana. Sikiliza hii stori ya John Kaaya akieleza jinsi polisi walivyomtesa

    Kama ni kweli kuna watu waliuawa bila hata hatia, tena kwa makusudi https://youtu.be/kW4x1NROh0k
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu hapa tanzania unaweza kumshitaki polisi

    Nimeona kwa wenzetu kenya wana idara inajitegemea inaitwa Independent oversight authority (IPOA). Kama polisi watafanya makosa basi wanaweza nao kuchunguzwa na kukamatwa na hiyo idara. Ila hapa kwetu malawi sasa yani polisi anakufanyia makosa alafu na yeye anaomba ulete ushaidi wa kosa.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene inawezekana hujui watanzania wanataka Nini kutoka Jeshi la Polisi, pitia hapa nikwambie

    Mh. Waziri, Soma mkasa huu kwa makini na uweze kujua haswa watanzania wanataka Nini kuliko kuanza kuwahubiria kuhusu maboresho mnayotaka muyafanye kwa Jeshi la Polisi. Mnamo tarehe 29 Oktoba - 03 November, 2025 Kuna familia zilishuhudia wapendwa wao wakikamatwa na Jeshi la Polisi na...
  20. JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…