polisi

  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

    Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Video: Mama aelezea mwanae alichukuliwa na gari la Polisi lakini amezunguka vituoni na hospitali hajampata

    Kupitia ripoti ya DW ikimuhoji Mama kwa jina Elizabeth Makule, ameelezea namna mwanae alichukuliwa na gari la Polisi ikiwa baada ya kupigwa risasi mguuni katika vurugu zilizotokea Oktoba 29, Mama huyo amesema tayari amefika katika vituo mbalimbali vya Polisi na hospitali lakini hajamuona mwanae...
  5. Black Opal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

    Kwa mujibu wa sheria za Tanzania mtu anayetuhumiwa au kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi hawezi kupata dhamana, kitu ambacho tulikitegemea kwa viongozi wa CHADEMA kina Lema, Heche, Boni Yai na Golugwa. Wawasumbue weee kama wanavyomsumbua Lissu, mwishoni DDP aseme hana nia ya kuendelea na kesi hiyo...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wadaiwa kuvamia nyumbani kwa mlinzi wa Lissu na kutokomea naye kusikojulikana

    Usiku wa kuamkia Leo, "Polisi wanaodaiwa kuvaa kiraia, walivamia nyumbani kwa Mlinzi wa Mhe. Lissu, ndugu Charles Hangaya (huyu niliyemuwekea alama) maeneo ya Bunju A kisha wakaondoka nae mpaka sasa haijulikani wamempeleka wapi." - Ameandika Hilda kupitia ukarasa wake wa X
  8. October 2pm

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama una ndugu polisi ujue hata yeye alishiriki kuua watanzania

    Mwatusingizia wazenji. Mwaenda kusingizia wayuganda. Wakati polisi wenyu watanzania ndio walioua watu wengi. Huyo ndugu yako polisi unayemuona ni miongoni mwao walioshiriki kuua watu. Siye twawaangalia mnavyoneng'eneka. Mwauana wenyewe kwa wenyewe kwa unyumbu wenyu. Mwabisha sio. Nawaulizeni...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

    Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda. Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
  10. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Tunaomba kuwaondolea sifa ya kuajiliwa waandamaji wote waliobainika kuleta vurugu tarehe 29/10/2025. Hivyo basi utumishi chukueni orodha za waandamanaji kutoka Polisi then zitunzeni kwenye data zenu ili wote walioshawishi/ KUSHIRIKI wizi na uharibifu wa miundombinu na Mali za watu binafsi na...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta

    Kama wewe ni polisi na unapinga mauwaji yanayoendelea acha kazi chuki na ubaguzi mnaoujenga kwa watu mtakuja kujuta.
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha: Askari Magereza aliyepigwa risasi na Polisi Oktoba 30, 2025 Mazizini DAR

    kwenye Picha ni Askari wa jeshi la magereza ASP ABBAS RAJABU MKALI aliyepigwa risasi na jeshi la polisi maeneo ya Mazizini jijini Dar es Salaam akiwa anatambea, Mkali alikuwa Dar kwa likizo, kituo chake cha kazi ni Gereza la Mbarali. Tunaposema wameua watu wasio na hatia tuna maanisha.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sijasikia polisi wakiwatafuta wauwaji, badala yake wanatafutwa waandamaji na viongozi wa upinzani

    JF Nieleweshwe, au katiba inawapa mamlaka polisi Kuua .? Hawa waliofanya haya mauaji sijasikia sehem yoyote kuwa wanatafutwa ( tena wengine hawakuwa hata na uniform za polisi ), Lakini Wambura, Mkunda, Mombo na vikosi vyao wako kimya kuhangaika na waandamaji na viongozi wa siasi. Tuna jeshi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia. Definitely mapambano yanaendelea
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ili kuiaibisha Serikali, Polisi na Mahakama, watuhumiwa wote wa Uhaini wakiri makosa yao

    Sitaeleza sana maana naamini kwa ufupi naweza kueleweka. Hawa vijana wa Kitanzania wa kiume na kike zaidi ya 200 wanaoshitakiwa kwa UHAINI, nawashauri wote kwa umoja wao wakiri mashitaka yao yote. Naamini Serikali imejipanga kuwaozesha jela kwa kesi ndeeefu halafu mambo yakipoa utasikia...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

    Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao. Je wewe una maoni gani?
  17. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Kama Mtu Hamuoni Ndugu Yake Afike Polisi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

    Oktoba 2025 haitafutika kwenye historia ya Tanzania
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Polisi waliokuwa wanalinda Wasafi Media wameondoka

    Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale. Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers... Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa na jeshi zima la mkoa huo kutokuwa na mauaji ya raia kwenye maandamano

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kuwa hakuna mwananchi au askari Polisi wa Jeshi hilo Mkoani humo aliyejeruhiwa au kupoteza maisha kutokana na Vurugu zilizotokea siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025. Hata hivyo nawapongeza kwa kuwaachia huru vijana mia 300...
Back
Top Bottom