polisi

  1. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Polisi mlitoa onyo kutosambaza video za kuleta taharuki. Sasa CNN mtawafanyaje?

    Nailiza polisi wetu tunawafanyaje CNN
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN: Madaktari waliambiwa na polisi wasitibu waliojeruhiwa, bali wawapeleke Mochwari wafie huko!

    Wakuu, Ripoti ya CNN imetoka, watu wenggi wametuma shuhuda zao na kuthibitisha yaliyotokea. Katgi ya hayo ni madkatri waliosema polisi walikuwa wakiwakataza wasitibu wale waliojeruhiwa, badala yake wapelekwe mochwari wafie huko.
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema atakata watu watakaoandamana vichwa alitakiwa awe anahojiwa na Polisi

    Lissu alisema atakinukisha yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa. Karibu Tanzania. Polisi mnataka tuanze kuwafundisha kazi yenu, Au mnajua tu kuua na nyie ?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Polisi wawaache wanaotaka kuandama Desemba 9, Maana Watakuwa 2% Tu!

    Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18. Kama Samia anaungwa mkono kwa 98%, kuna sababu ya kuwa na hofu ya maandamano? Wanaomuunga mkono...
  7. Candela

    JamiiForums Tanzania Polisi sio mahala salama tena

    Guys sasa hivi ukigombana na mtu au kwa namna yoyote ukapata jambo linalokulazimu kwenda kituo cha polisi kushitaki aisee kama ni mtu samehe tu na kama ni deni la pesa angalia namna nyingine ya kumdai Why nasema hivi, kuna taarifa imelenea huko Kinyerezi Daslam watu waliibiwa wakapiga simu...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kifinyo cha Kimataifa kizidi hadi Wanajeshi na Polisi wakose Posho na Mishahara

    Watanganyika tumeamua. Baada ya Umoja wa Ulaya kukata misaada sasahivi tunaenda nchi moja moja za Ulaya, Marekani, Taasisi za Kifedha za Kimataifa zikiwemo World Bank na IMF na Mabenki yao. Huyu muuaji tutahakikisha tunampiga kutoka kila upande hadi akose hela za kuwalipa Mercenaries wanaokuja...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Polisi: Washtakiwa 93 wanaodaiwa kufanya vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha kuendelea kusota rumande

    Washtakiwa 93 wa kesi za uharibifu wa mali, kufanya Vurugu na unyang'anyi wa kutumia silaha leo wamefikishwa tena katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana, Mwanza, huku upande wa Jamhuri ukitakiwa kukamilisha ushahidi haraka katika kosa la kwanza la uharibifu wa mali Katika Shauri hilo la jinai...
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kulikoni sioni tena vitisho vya polisi na wakuu wa mikoa juu ya D9

    Tutaheshimiana tu, maandamano ya MO29, yalijawa na vitisho sijawai kuona. Nchi nzima polisi, JWTZ magereza na Tiss walikuwa wanazunguka mabarabarani na outdated armed vehicle and tanks kutisha waandamanaji. Chalamila kila siku alikuwa anatoa matamko, kina Muliro walifikia hatua ya kusema "Kwa...
  11. Kijukuu cha ngoyayi

    JamiiForums Tanzania TUMETOKA KWENYE POLISI TANZANIA MPAKA HUKU?

    Hizi message wanazotuma mbona zina heading tatanishi
  12. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi tunaomba msitumike kuonea wananchi

    Tunajua njama zote zinazofanywa na wenye mamlaka fake kuwatumia polisi. Na polisi walivyo wajinga wanaingia mkenge. Tuko kwenye point of no return. Mpende msipende tunakwenda kuikomboa nchi yetu. Mkiendelea kutumika wengi sana mtapoteza kazi zenu, mtafungwa, mtanyongwa na familia zenu zitaishi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Acheni propaganda za miaka ya 1900

    Polisi Tanzania, kwenye bomu la kurusha kitu muhimu kuliko vyote ni Fuse. CIA wakitaka kuleta mabomu kwa ajili ya kuanzisha vita hawawezi kuleti bomu iliyonganishwa lote, Wataanza kuleta components moja moja, mfano hizo fuse zitakuja kama vyuma chakavu. Wakileta fuse, vijana watamaliza kazi...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Peleus Mshumbu alikamatwa na Polisi tangu Oktoba 26, lakini familia inazuiwa kumuona na polisi awatoi taarifa

    Anaitwa Peleus Mshumbu Justinian ni Mwinjilisti wa KKKT mtaa wa ndama Usharika wa Nyabwegira, tarehe 26 October 2025 alikamatwa na Police yeye na mke wake wakiwa nyumbani kwao Ndama. Baada ya kufikishwa kituo cha police Kayanga wilayani Karagwe alihojiwa kwa kuhubiri mahubiri yenye uchochezi...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi waweka namba hadharani za Wanaotumia WhatsApp kupanga kufanya uhalifu, sheria inasemaje?

    Sheria ya data protection inahusu watu gani? Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mamia ya Polisi waomba kuacha kazi kutokana na kilichotokea wakati wa uchaguzi

    Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect. Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025. Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa unyama wa Oktoba 29, sijui wala kuamini kuwa polisi wetu ni binadamu kama sisi

    Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Police Militarization: Sababu ya Jeshi letu kuzidiwa nguvu na Polisi

    Police militarization ni mchakato wa taasisi za polisi kuanza kufanana na jeshi kwa kutumia vifaa vya kivita, mbinu za kijeshi, na mienendo ya ukakamavu uliopitiliza katika kushughulikia masuala ya kiraia. Hali hii imezua mijadala duniani kuhusu usalama, haki za binadamu, na matumizi ya nguvu...
Back
Top Bottom