polisi

  1. JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana Polisi kuzuia mikutano ya kisiasa, tatizo kubwa ni wakuu wa Wilaya na mikoa

    Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili. Kwa bahati nzuri sana kabla ya kuikacha CCM na kuamua kubaki kufundisha kunoa vijana,nimewahi kua...
  2. JamiiForums Tanzania Hongera Dar Mpya kwa kukemea "Double standard" ya Jeshi la Polisi

    Kuna mambo yanatafakarisha sana sana. Polisi hawa wanawaachia hawa wafanye mikutano na Polisi hao hao wanawavamia wananchi wengine wakiwa wanafanya mkutano wa ndani. Huenda tukazika sana kama tutaendelea hivi. "Darmpya Blog tunalaani vikali vitendo vya upendeleo kwa @ccm_tanzania vinavyofanywa...
  3. JamiiForums Tanzania Musoma: Polisi Wazingira ofisi ya CHADEMA kulikopangwa kufanyika kongamano la Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa mpya inayosambaa duniani kwa sasa , kwamba Baada ya polisi kutumwa na RC kufanya usafi kwenye ofisi za Chadema , walipofika wakaizingira ofisi hiyo na kuiweka chini ya ulinzi na kuzuia kongamano hilo muhimu kufanyika . Mungu ibariki Chadema
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ndilo linalowatengeneza akina "Hamza" hapa nchini

    So far nchi yetu haijaweza kukumbwa na matukio ya moja kwa moja ya ugaidi kama ambavyo imekuwa ikitokea katika nchi nyingine za Africa na kwingineko. Sababu kubwa si nyingine bali ni ile tabia/hali ambayo Watanzania tumejengewa tangu tupate uhuru - uoga wa kutokuhoji (docility) hata pale...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi na Msajili wa Vyama vya Siasa, kwanini hamkichukulii hatua CCM? Mnataka wamuue nani zaidi ndio mgundue Ugaidi wa CCM?

    Ni hivi karibuni tu mwanachama gaidi wa CCM bwana Hamza kutokana na ripoti za uchunguzi wa Polisi ameua Askari polisi wetu watatu na mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kujeruhi askari wengine na RAIA wema. Aliyekuwa mwenyekiti wa Vijana wa CCM bwana Kheri James alitamka hadharani kuwa Walimkosa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Polisi wajeruhiwa maandamano ya kupinga chanjo ya Uviko

    COVID-19: Five police officers injured after violence breaks out at anti-vaccine protest in London Ten people were arrested after demonstrators clashed with police in Canary Wharf and South Kensington. Friday 3 September 2021 23:39, UK
  7. JamiiForums Tanzania Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo: Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ; Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
  8. JamiiForums Tanzania Nadhani tulikosea kuwakabidhi Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la mauaji ya Hamza

    Hivi karibuni kulitokea tukio la kustua na kutisha Sana, ambapo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Hamza, alipofika kituo cha Selander Bridge na kuwafyatulia risasi kwa kutumia bastola yake na kuwaua askari 2 na kuchukua "machine gun" yao na kuanza kuwasaka Polisi popote pale walipo na...
  9. JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa kweli marehemu Hamza alikuwa gaidi, lakini ukweli utabaki kuwa kweli. Jeshi la polisi linafanya uonevu mkubwa kwa Watanzania

    Kwa namna jeshi la polisi linavyodili na watuhumiwa wa uhalifu hapa nchini basi ifikie hatua tusiwe na chombo kinachoitwa mahakama. Maana mtu akituhumiwa kwa wizi wa aina yoyote kabla ya kufika mahakamani lazima apate kipigo na mateso makubwa akiwa chini ya jeshi la polisi. Ni kweli kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Hamza washangazwa na uchunguzi wa Polisi

    Dar es Salaam. Familia ya Hamza Mohamed aliyewapiga risasi na kuwauwa askari watatu, mlinzi mmoja wa kampuni binafsi na kisha naye kuuawa kwa kupigwa risasi, wameeleza kusikitishwa na taarifa kutoka polisi kuwa ndugu yao alikuwa gaidi. Akizungumzia uchunguzi wa polisi, jana Alhamisi, Setemba2...
  11. JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma Toka Jeshi la Polisi Makao Makuu

  12. JamiiForums Tanzania Handeni, Tanga: Leo ndo hatma Polisi wanaotuhumiwa kudhalilisha Wanawake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema litatoa taarifa ndani ya saa 24 kuhusu sakata la baadhi ya askari wilayani hapa kutuhumiwa kuwashika sehemu za miili wasichana na kuwalazimisha mapenzi. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda alisema ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wananchi kuweka Mageti ya ukaguzi mitaani ni ishara ya kushindwa kwa Jeshi la Polisi

    Sasa hivi maeneo mengi ya Mkoa wa DSM wananchi kwa umoja wao wameamua kuajiri walinzi binafsi na kuweka Vizuizi vya ukaguzi kwenye mitaa, ukifika kigamboni au Mbezi Beach ni lazima wenyeji wako wathibishe ujio wako mbele ya walinzi , vinginevyo utaishia njiani . Pamoja na pongezi hizi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kilichonivutia kwa uchunguzi wa polisi juu ya Hamza

    Kwa mara ya Kwanza polisi wetu wameweza kuchunguza kwa haraka zaidi na kwa muda mfupi mno na kupataa majibu mengi juu ya gaidi Hamza. Kuwa alijifunza Ugaidi mtandaoni, aliishi kwa Siri na kuwa alikuwa ni gaidi wa kidini, Imani kali. Polisi wetu wameweza kufanya uchunguzi huku gaidi Hamza akiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Polisi kubambikiza kesi, kunyanyasa, kutesa na kuua watu, zinahitaji hatua madhubuti

    Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

    Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo: 1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote. 2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

    Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi? Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
  18. JamiiForums Tanzania Handeni, Tanga: Polisi wadaiwa kushika nyeti za wanawake kwa nguvu bila ridhaa

    Jeshi la Polisi Handeni linalalamikiwa kushika Nyeti za wanawake Wilayani Handeni mkoani Tanga kwa nguvu bila ridhaa ya wanawake hao.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume Huru kuchunguza suala la Hamza kuua Polisi

    Ukifuatila kwa ukaribu suala la mauji alofanya Hamza kisha nae kuuwawa unabaki na maswali mengi kuliko majibu. Nmesoma gazeti la mwananchi tangu kutokea kwa tukio hili kuna vitu vingi ni ambiguous, kwa mfano majirani zake wote waliohojiwa wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole ukienda chunya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…