polisi

  1. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie huu mjadala, hivi mwanajeshi anaweza kupata mamlaka, nguvu na heshima kama anayopewa polisi ?

    Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi) kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe) -wao ni law enforcers -wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi...
  2. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  3. B

    JamiiForums Tanzania RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  4. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro apangua Makamanda wa Polisi wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko ya makamanda wa Polisi wa mikoa kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa jeshi hilo. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 6, 2022 na msemaji wa jeshi hilo, David Misime imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Tanzania kuna upunguzu wa Vituo vya Polisi 470

    Taarifa ya upungufu wa vituo vya polisi Nchini Tanzania imewaibua wadau wa haki za binadamu, wakidai kuwa chanzo ni kukosekana kwa haki. Jana Aprili 5, 2022, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni aliwasilisha bungeni taarifa ya upungufu wa vituo vya Polisi vya daraja B...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi sasa wanawakamata wanaume wanaowanunua dada poa, wanawake hawakamatwi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema kuwa sehemu ya mikakati yake katika kuzuia biashara ya wanawake kujiuza ni kuwakamata wanaume ambao wanahusika katika biashara hiyo. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema ameamua kuja na staili tofauti...
  7. JamiiForums Tanzania DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  8. JamiiForums Tanzania Akabidhiwa Sh 8m, aingiwa na tamaa, atapeliwa, adanganya kavamiwa, Polisi wamdaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Ally Mussa (36) mfanyabiashara kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwamba alinyang’anywa pesa Kiasi cha Tsh 8,000,000 maeneo ya Temeke Mwembe Yanga wakati akizipeleka Bank ya CRDB Temeke Sterio. Alidai kuwa ghafla alivamiwa na watu sita...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi watoa tamko kuelekea mechi ya Simba Vs USGN

    Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya USGN ya Niger, Jumapili Aprili 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, Jeshi la Polisi limesema liko tayari na limejipanga kwa ajili ya kulinda usalama siku hiyo ya mchezo huo ambao utaanza saa 4:00 Usiku. Mchezo huo wa Kundi D katika Kombe la...
  10. JamiiForums Tanzania RPC Wankyo Nyigesa ni kielelezo cha kuzorota kwa kiwango cha utumishi na nidhamu ndani ya Jeshi la Polisi

    Kwa sisi ambao ingalau tumepitia JKT, tuliopata mafunzo kamili ya infantria miaka kabla tu ya Vita ya Kagera, matukio ya miaka ya karibuni yanatutia wasiwasi sana na hili jeshi letu la Polisi. Malamiko madogo madogo ya utesaji, ubambikaji kesi, hata wizi na rushwa yalianza kuwa malamiko ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kuua raia kwa risasi Ngara

    Jeshi la Polisi wilayani Ngara mkoani Kagera linadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi mkazi wa eneo ya Nyamiaga wilayani humo aliyewatisha kwa shoka askari waliokwenda kumkamata. Katika tukio hilo la Jumatatu jioni, askari sita wanadaiwa kumuua Philbert Protas ( 30) kwa kumpiga risasi kadhaa mwili...
  12. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watoto waliotumwa dukani usiku, wabakwa, walawitiwa, waliwa na fisi (ripoti ya Polisi)

    Watoto 10 wakazi wa Kata ya Mhongolo, Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga, wamebakwa na kulawitiwa kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita na wengine wawili wakiliwa na fisi. Waliofanyiwa vitendo hivyo vya ukatili wanakadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka sita hadi 12 wa jinsia...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamnasa Mganga wa Jadi kwa kumiliki Sh milioni 3.3 za bandia

    Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto mishahara yao ni midogo, Serikali muwaongezee

    Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya. Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku...
  15. JamiiForums Tanzania Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi wa Tanzania wanapenda sana kuweka watu mahabusu, kupeleka mahakamani na kujadili kuwafunga?

    Nimemsikiliza kamanda Mtafungwa akizungumzia kwamba Polisi awatatoza faini madreva wanaovunja sheria Bali watawakamata kuwaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani wafungwe. Najiuliza sheria ya usalama barabarani inasemaje? Kwa sababu ukisoma sheria utagundua makosa haya yanahitaji kifungo au ni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia safisha Polisi na vikosi vyote vya usalama vinavyotuhumiwa kuteka na kuua watu

    Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyetoroka kwa kumuua mkewe anaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko Kijiji cha Shitete, Kata ya Iwindi, Tarafa ya Usongwe, Wilaya na Mkoa wa Mbeya, Machi 20, 2022, ambapo walifanikiwa kumkamata SAFARI ADMIN LUWOLE [43] Mkazi wa Kijiji cha Horongo aliyekuwa akitafutwa kwa kosa la mauaji ya mke wake aitwaye...
  19. JamiiForums Tanzania Nikisema Jeshi la Polisi halifanyi kazi vizuri, najibiwa...

    Katika nchi ya Pueto rico Rais analalamika akilisema jeshi la Police halifanyi kazi vizuri anajibiwa na IGP / Mkuu wa Jeshi la Police wa Pueto rico. Naomba kunukuu maneno ya Rais wa Pueto rico ' Wewe uamini vyombo vyako ohooo ohoooo' alisikika Rais wa Pueto rico akilalamika kitendo cha utovu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumepokea ripoti za uchunguzi, tutafanya mabadiliko Polisi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo yaliyotolewa na tume zilizoundwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na baadhi ya askari polisi baada ya malalamiko ya wananchi yataleta “mabadiliko kidogo ndani ya jeshi hilo”. Akijibu swali la mikakati ya Serikali itakayofanya raia wawe na imani na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…