polisi

  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mauaji Wilayani Lushoto, Polisi waache mzaha na uhai wa watu

    Kwa zaidi ya wiki nne sasa kumekuepo na mauaji ya kutisha sana wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba zaidi ya Watu wanne wameshauawa kwa nyakati tofauti huku wauaji wakiwapora victims wao except tukio la Jana Mei 23 la kuuawa kwa Mlinzi na wauaji kutokuchukua kitu...
  2. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Bodaboda vs Polisi: Sikio la kufa halisikii dawa

    Malalamiko ya wamiliki wa bodaboda/pikipiki yamezoeleka masikioni mwetu na kupelekea hali inayoendelea Sasa hata JamiiForums kuona hakuna sababu ya kuliongelea tena. Mimi nimeona nisichoke katika hili. Wabunge ni walewale, viongozi ni walele na Sheria ni zilezile. Najiuliza shangwe zile za...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wachunguza kifo cha Mbunge aliyekatwa kichwa

    Polisi nchini Nigeria wanachunguza kukatwa kichwa kwa mbunge wa jimbo la kusini-mashariki la Anambra ikiwa ni wiki moja baada ya watu wenye silaha kumteka nyara pamoja na msaidizi wake. Mwili wa Okechukwu Okoye ulipatikana mwishoni mwa juma ukiwa na majeraha ya kukatwa ambapo Gavana wa jimbo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Serikali na Jeshi la Polisi kuweni Makini na Mnaponunua Risasi zenu. Hatari ipo kwetu

    Inaonekana hizi risasi zinazotumika kwenye silaha zetu nyingine ni fake au zina tatizo flani. Mara kadhaa imetokea Polisi wanapiga Risasi Juu kutawanya watu. Yenyewe inakata kona na kwenda kumfuata mtu aliye chini. Kuna haja Serikali iangalie hizi zinatengenezwa wapi. Isije ikawa ni za Kichina...
  6. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  7. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  8. Mtini

    JamiiForums Tanzania Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  10. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Wahalifu Kenya wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki

    Wahalifu sasa wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Yanayomkuta Carol Ndosi ni ushahidi mwingine kuwa hakuna aliye salama dhidi ya ukatili wa Polisi

    Siandiki haya kwa ushabiki au kwa kufurahia ila naandika ili niwakumbushe kuwa ukatili wa Polisi ukitamalaki basi hakuna aliye salama. Kuna taarifa kuwa Da Carol Ndosi ameshikiliwa kituo Cha Polisi Oysterbay huku akinyanyaswa na "kushambuliwa" na Askari kwa kile kinachodaiwa na yeye mwenyewe...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Maandamano Sri Lanka: Serikali yatoa madaraka ya dharura kwa Jeshi na Polisi

    Serikali imetoa Madaraka ya Dharura kwa Jeshi na Polisi kukamata na kuhoji watu bila kuwa na Kibali, ikiwa ni siku moja baada ya maandamano kusababisha vifo vya watu 7 na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa Hata hivyo, baadhi ya Wachambuzi wamekosoa uamuzi huo wakisema kuna uwezekano ya Madaraka...
  13. prumpeti

    JamiiForums Tanzania India: Adaiwa kubakwa alipoenda Polisi kuripoti tukio la kubakwa

    Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  15. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Maharagande: Jeshi la Polisi Hutumiwa Kuminya Mfumo wa Utoaji Haki Nchini

    Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23. Utangulizi: Jana Alhamisi tarehe 5 Mei 2022 Wizara ya Mambo ya Ndani iliwasilisha bungeni hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?

    Simoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli? DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama...
  19. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mvutano kati ya wanajeshi na Polisi waongezeka Somalia

    Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi. Mivutano hiyo inadhihirisha mpasuko uliopo katika vyombo vya usalama vya Somalia, kutokana na kucheleweshwa kwa...
Back
Top Bottom