Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao hiyo ni kulinda maslai ya watu fulani kwa sababu ya bishara ya dawa
Za ndaaaniiii
Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki,
Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa
Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu
Britanicca
Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wakwenda kumtoa mgombea mwenza( Nchimbi) ila kwa sababu mgombea mwenza ni mjanja tu, na ndio maana ile siku Kikwete pale Kawe alisema Nchimbi anajua.
Wakamkaba mama Samia huku na huku, akaogopa wakamtisha kwamba mama kama unachoma betri...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi.
Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe.
Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole
https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY
Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole
Ali...
Comprado...
Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini
Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
Kwanini bei ya petrol tz iwe juu ukilinganisha na Cuba au hata Malawi petrol yao ipo chini 1300 na ushee bongo lita moja buku tatu. Malawi anapata petrol kupitia kwetu kwanini bei iwe tofauti kwamba sisi iwe juu kwao kidogo?
Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.
Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
Hata ukiangalia ile overall views, bado...
Mdogo wangu Polepole heshima nyingi kwako. Kiumri ninakuzidi lakini umenizidi mengi kwenye taaluma na uzoefu. Najua unanifahamu maana tangu tukiwa wanafunzi tumefahamiana na hata ulipokuwa Mwenezi wa Mbogamboga nimeonana nawe sana pale Ofisi Ndogo Lumumba. Ingawa nilikushauri memgi ukanipinga...
Kijana huyu anapoongea huchoki kumsikiliza. Hachoshi kama vile Mwalimu Nyerere Huwa hachoshi kumsikiliza hotuba zake. Polepole ana uwezo mzuri wa kujenga hoja na ana akili sana.
Unajua mtu mwenye uwezo wa kuongoza na kutenda Huwa anapimwa kwa njia tofauti na moja wapo ni uwezo wa kujenga hoja...
https://www.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ
Updates....
Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu
Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
Wapinzani wengi katika nchi hii ni watu waliochanganyikiwa.
Ukimuondoa Lissu the Real hero wengine wako tu upinzani kwakuwa hawajui wafanye nini au hawajui wanataka nini.
Wengine wako upinzani kwakuwa wamekosa ajira rasmi. Wanadhani kuwa kinyume na serikali kutawaondolea stress.
Hizo press za...
Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.