polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polepole uliahidi kufichua yanayoendelea kwenye usafiri wa mwendokasi, huu ndio muda mwafaka

    Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliwahi kusema kupitia njia ya mtandao kwamba atafichua uozo uliopo ndani ya mradi wa mwendokasi. Kauli hiyo bado inabaki vichwani mwa watanzania wengi, hasa wakati huu ambapo huduma za mwendokasi zimekuwa zikilalamikiwa kwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga

    Wakuu Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM). Soma pia >...
  3. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siku 3 zilizopita Polepole alitangaza kuja na taarifa ya mradi wa mwendo kasi unavyohujumiwa naona kimya. Au kwasababu za kiusalaama ameamua kutulia?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba Hampfrey Polepole juzi katika taarifa yake ya mwisho aliongelea jeshi la polisi wanavyomhitaji kufika ofisi ya DCI kwa ajiri ya kutoa maelezo juu ya tuhuma ambazo alizotoa katika taarifa zake ambapo aliwajibu kwa kuwaambia kuwa yupo tayari kutoa ushahidi...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nani ataibuka mshindi kati ya mtandao na vyombo vya dola kwenye sakata la Polepole

    Sitii neno. Hali ilivyo ni kwamba kuna mnyukano kati ya mtandao na vyombo vya dola. Je, nani ataibuka kidedea? Najiwazia kimya kimya.
  5. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana

    Polepole: Jeshi la Polisi hamjafanya juhudi zozote za kunitafuta| Mawasiliano yangu rasmi yanajulikana Nimekuwa nikitafutwa kwa mtindo wa KUWINDWA. Pia soma wito wa Polisi kwa Polepole: Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Polepole kanatudanganya juu ya bima ya afya na hesabu zake za Abunuwasi apuuzwe kabisa

    Polepole kanatudanganya juu ya bima.ya afya na hesabu zake za bunuwasi apuuzwe kabisa, Hana akili yoyote ya Actuarial Science haiwezekani haje na graph zake, a bunuwasi kuja kusema mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uongo kabisa. Apuuzwee polepole.
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polepole: Serikali imekataa kunirudisha nyumbani halafu Polisi wanataka niripoti kwao

    Humphrey Polepole akizungumzia wito wa polisi kumtaka aende kuelezea tuhuma zake amesema mara baada ya kujiuzulu ubalozi amepata matokeo mabaya. Akizungumza kwa njia ya mtandao amesema, aliwasiliana na watumishi wa serikali wakamwambia Rais Samia ameagiza kuwa afukuzwe kazi hivyo hatapata...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuhuma alizoziibua Polepole zinapaswa kufanyiwa kazi mpaka Polepole aripoti Polisi au Takukuru? Kwanini wasianze kuzishughulikia?

    Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa. Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Msihadaike na Drama za Polepole, ni Afisa Kipenyo aliye kazini!

    Hizi drama ni za kupitisha muda tu Kusubiria siku ya Uapisho November 2025. Ndugu mnyonge endelea Kusaka pesa za kulisha familia yako. Hakika HP kataitiwa mwanzo-mwenga Hana pa kutoboa
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Aliyeko karibu na Polepole

    Awe makini mnooo Sitafunguka sana UPDATE Nimeshapata access naye nimempa jambo fulan kwa ajili ya usalama wake !!! Britanicca
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia unaombaje kura wakati umeshindwa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao?

    Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao hiyo ni kulinda maslai ya watu fulani kwa sababu ya bishara ya dawa
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Za ndani kutoka CCM zinaeleza kuwa Emmanuel Nchimbi muda wowote anaachia ngazi kwa kujiuzulu

    Za ndaaaniiii Nchimbi Jana alitolewa kwenye kikao kwamba hahusiki, Leo mpango, wa kujiuzulu unasukwa Muda wowote kuanzia leo ataachia ngazi katika nafasi zote - Ugombea mwenza na katibu mkuu Britanicca
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

    Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wakwenda kumtoa mgombea mwenza( Nchimbi) ila kwa sababu mgombea mwenza ni mjanja tu, na ndio maana ile siku Kikwete pale Kawe alisema Nchimbi anajua. Wakamkaba mama Samia huku na huku, akaogopa wakamtisha kwamba mama kama unachoma betri...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deo Sanga: Miradi aliyokamilisha Samia imemchanganya Polepole

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
  16. 888I

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumekubaliana vipi kuhusu hoja ya Polepole ya NIDA, Kadi ya Kura na Kadi ya CCM kuunganishwa?

    Nimewahi kumsikia Ndg. Humphrey Polepole (aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Cuba) akisema pale chamani walikwisha kuanza michakato ya kuunganisha kadi mbili muhimu — Kadi ya NIDA na Kadi ya mpiga kura — na hatimaye kuunganishwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tafsiri rahisi, kama kweli...
  17. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  18. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Ali karume amvaa Humphrey Polepole

    Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole Ali...
  19. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  20. Chibike

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatubagaza, wanatubananga, na mwisho wanatutindinganya

    Comprado... Hatutaki matajiri wapiga Dili, mtu mmoja anafanya kitu kinaitwa Transfer price faida anapata yeye in return kuwaumiza watanzania haswa wenye kipato Cha chini Kumbe yule bwana ndio alimshauri Mkapa mambo ya bima ya afya...dah..ndio mana bima ya afya ni kizungumkuti Jana Leo na...
Back
Top Bottom