KWA NINI POLEPOLE HATA AKIELEWEKA HAELEWEKI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Mhe Polepole anazungumza sana na watu wanamuelewa ila haeleweki. Mhe Polepole haeleweki kwa kuwa aliyoyatetea akiwa kwenye Vieiti (V8) ndiyo yale anayoyapinga baada ya kuondolewa V8. Hivyo anaonyesha ni mtu ambaye akipewa...