polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Tuweke kumbukumbu sawa; Polepole siyo balozi wa kwanza kujiuzulu Ubalozi. Mwaka 1969 Christopher Kasanga Tumbo alijiuzulu akiwa Uingereza

    Naona vijana wa 2000, wanasema tangu uhuru hakuna balozi aliyewahi jiuzulu, jamani hata Nyerere enzi zake kuna watanzania walimuumiza kichwa kuna mwamba huyu hapa alikuwa mnyamwezi wa Sikonge Tabora huko ambapo mwaka 1969 aliacha ubalozi akiwa anaiwakilisha Tanzania nchini Uingereza, akamwambia...
  2. Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  3. R

    Balozi Polepole naye anadai reforms akiwa ndani ya CCM!

    Salaam! Kwa andiko ulilloandika Jana Mh Polepole, ni dhahiri kuwa, watanzania tumekusamehe madhambi yako yote ikiwamo Ile ya kuturingushia v8 tulliyokununulia kwa pesa zetu. Baada ya Mh Gwajima,Mpina,Padre Kitima,Lissu, sasa ni zamu yako ndugu Pole Pole, ujasiri huu ni mkubwa,tunakupongeza...
  4. W

    SI KWELI PreGE2025 Sugu asema Polepole ni Mnafki

  5. W

    SI KWELI PreGE2025 Utendaji mbovu wa Humphrey Polepole ndiyo sababu ya kuenguliwa

    Wakuu nimekutana na hii Taarifa je ni ya kweli?
  6. S

    Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  7. GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

    Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi kwa kusema mambo Saba (7 ) ikiwa sita ni ya kufikirisha kwa kuzingatia historia ya Balozi Polepole...
  8. Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

    Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea. Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli. Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya...
  9. Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

    Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli. Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha. Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!! Hiki ni kituko sana. Sisemi kuwa...
  10. Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
  11. CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

    Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na...
  12. Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Sarakasi za polepole tumeziona. Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedent ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole???? 1. Nani aliyeacha precedent ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala??? 2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia...
  13. Baada ya Kassim Majaaliwa philip mpango Humphrey Polepole nani anafuata ?

    Wazungu linapotekea jambo la muendelezo huwa wanamsemo wao maarufu who is a next? Wakiwa na maana nan anafuata. Ndio macho na masikio ya watanzania sasa yatakua wazi mda wote kusikiliza nan anafata badala ya aliekua wazir mkuu kasim majaliwa na vice president mpango na balozi wa Tz Cuba...
  14. Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  15. Ndugai, Majaliwa na Mpango wamepigwa bao na Polepole

    Sasa ni rasmi kuwa Ndugai, Mpango na Majaliwa wote walipigwa boot. Swali langu kwa nafadi zao ilikuwaje hawakuliona hili mpaka wamexifiwa na bwana mfogo tu Polepole. Su walilewa madaraka wakadhani wamefika? Hii timing ya Polepole imeonyesha kijana ana akili kuliko hawa Wazee. In fact watu wa...
  16. Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

    Hili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za kujiuzulu.. Kawa muwazi sana sana na kanyoosha maelezo bila kutumia lugha laini ya kidiplomasia Kuna...
  17. Polepole ni zao la chuo cha Mwalimu Nyerere ambacho watu mmekuwa mkikichukulia poa , ila hiki chuo kimezalisha watu smart sana.!

    MTU Kama Polepole , Mwanadiplomasia na mwenye uthubutu anatoka katika Chuo bora cha Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
  18. Barua ya Polepole itakuwa imeandikwa na wanaharakati siyo ya level ya Balozi

    Wanakumbi. Tukiipitia barua mara mbili mbili tunaendelea kushangazwa sana inakuwaje balozi wa nchi mwenye jukumu la kutumikia taifa huko nje cuba, anaandika kujiuzulu kwake si kwenye majukumu aliopewa bali kwa tuhuma zinazo wasilishwa na wapinzani , kisha humo humo analalamika maswala ya CCM...
  19. Je,Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika kama Kiongozi

    Wakuu, Ni nafasi zipi kubwa Humphrey PolePole amewahi kuzishika? Mimi najua tu ni Kiongozi Mahiri, Mwanasheria na Mwanadiplomasia.
  20. R

    Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…