polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Key Components of EPC+F

    Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo: C&P from Google EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for all phases of a project, including securing the necessary financing, in addition to designing...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Humphrey Polepole hana jipya wajue

    Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo. Huyu Mwanasheria wa ACT ni chawa anayedandia. Hebu tufikiri pamoja. Hapa jipya siyo kile alichosema...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Polepole anaongea kisomi sana, CCM msikurupuke kumjibu

    Yale mambo yenu ya kutegemea waropokaji kumjibu Humphrey Polepole, CCM acheni... Huyu mwamba anaongea kisomi Sana, kiasi kwamba hata wale "Spin doctors" wenu wanapaswa kurudi darasani ili waweze kupimana ubavu na huyu mwamba.
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Tunaweza kuwa na mitungi ya 2,000 kama Cuba, lakini tuna viongozi wabaya hawaelewi maslahi mapana ya nchi yetu

    Polepole: Tunaweza kuwa na mitungi kwa bei ya 2000 kama Cuba, lakini tuna viongozi wabaya awaelewi maslai mapana ya nchi yetu.
  5. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    1. Ndugu H. Polepole leo ameanza kuelezea bei ya mtungi wa gesi wa Kilo 20 Cuba ambayo ni 2000/= TZS na kusisitiza hapa Tanzania tunapigwa na Mafisadi, huku Gesi tunayo lakini mtungi ni 60,000/= TZS. Amefanya hivyo kwa kujibu hoja za Bwana Ezekiel Kimwaga aliyemkejeli Ndugu Polepole na kusema...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya alichoongea Ali Hapi wakati ule na anachoongea Polepole sasa ni ipi?

    Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania. Ukiisiliza clip hiyo zaidi ya utofauti wa nyakati, utofauti wa maneno ya Ali Hapi wakati ule na maneno ya Humphrey...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Shukrani nyingi kwa Polepole. Naamini kituo kifuatacho Tutajuzwa walikopelekwa Azory, Saanane, na waliomtwanga risasi Lissu

    Sasa ni wakati sahihi wa Humphrey Polepole kutufichulia siri waliko kina Ben Saanane, Mdude_Nyagali na wengine waliopotezwa na utawala dhalimu wa CCM
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hamjielewi kabisa. Badala ya kushinikiza serikali imwachie Lissu mtetezi wa kweli nyie mko busy kusikiliza hotuba za Polepole

    Ahahaha 🤣 🤣 🤣 Hii nchi ina wajinga wengi kweli. Tangu tupate uhuru honestly mtetezi wa kweli asiye na chembe chembe za utapeli, uoga, rushwa na asiye muoga ni Lissu. Watu wamemweka ndani kwa sababu za kipuuzi. Sasa wapinzani mngekuwa mna akili timamu na moyo wa kupenda Taifa lenu...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

    Nikiwaita wajinga mnakasirika. Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga. Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa. Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara. JPM alimpa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ukimaliza kuanika Uozo agenda ijayo iwe tunatokaje kwenye Mkwamo huu tukiwa salama

    Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono! Thanks ulisema uko hata hapa...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Polepole tuache. Inatosha unazidi kutuchimba kwenye kidonda. Hatutaki kuyajua hayo tuwache

    Speech yako ya mwisho haijaisha unaleta nyingine? Unawabandika, bandua we unatumia Mkongo? Bado tunajitahidi kusema wewe Muongo na kukuzushia hatujamaliza unaleta tena drones nyingine kutaka lipua vinu vyetu vya Nyuklia? Waache watanzania kwa sasa wanapokea tshirt na khanga wanapokea 5,000...
  12. D

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Ameahidi safari hii lazima wahuni wapoteane.
  13. Sales man

    JamiiForums Tanzania Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Cuba mtungi wa gesi unaanzia laki moja na nusu mpaka laki tatu

    Haya sasa, kuna watu walidhani taarifa za Cuba hazipatikani. Uongo mkubwa umedhihiri. Tanzania ya sasa ni ya wasaka taarifa
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

    Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi: 1. Kusahau mapema 2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli. 3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ) 4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao. 5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa. Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na...
  18. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize Polepole, lakini tusisahau mambo haya

    TUMSIKILIZE POLEPOLE, LAKINI TUSISAHAU. Enzi zile za Magufuli, Watu kama Jakaya walionekana ni Watu wazuri sana. Kwa sababu Jakaya alikuwa nie ya Mfumo ambao 'ulichukiwa na wengi na kupendwa na wengi (walionyimwa fikra). 👉 "Bora enzi za Jakaya", Ni Kauli ambazo ungezisikia huku na kule. Naam...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

    Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk. Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na...
  20. Sales man

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
Back
Top Bottom