polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Content creator Polepole kama utashindwa kutengeneza pesa sasa hivi basi. Kuanzia November utakuwa takataka mbele za Watanzania

    Kwa ufupi huna mpya. Vuguvungu la uchaguzi ndilo linakubeba mpaka jamii inakuona una madini. Uchaguzi ukipita hutakuwa tena na maana mbele ya Watanzania. Tengeneza app sasa hivi walipishe hawa wajinga uliowahujumu haki zao za kidemokrasia kwa miaka zaidi ya mitano. Hii miezi 2 ukijipanga vizuri...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Vyombo vya ulinzi na usalama tunzeni kila taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yoyote. Hatutaka kusikia zimepotea

    Vyombo vya ulinzi na usalama kwa maana ya usalama wa taifa, jeshi la wanannchi, jeshi la polisi, takukuru, jeshi la uhamiaji tuzeni kila kipisi, bunje ya taarifa ya matumizi mabaya ya madaraka ya mtu yoyote iko siku inakuja tutataka hesabu kwa kila mtu aliyekuwepo kwenye vyombo na mwenye dhamana...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polepole: Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abdul ndiye anayehusika

    Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti. Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais
  4. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndugu H. Polepole kuhusu mustakabali wa taifa na kuwapiga wahuni

    Tumsikilize leo anajambo gani Updates... Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa

    Kosa kubwa la Polepole ni kuongelea CCM kuliko taifa. Kama kwa nyakati hizi unaongelea kumwaga oil ya CCM na kupuuza utekaji, haki na demokrasia kwa ujumla wake utakosa watu wa kukusikiliza. CCM pamoja na kujigamba hawafiki hata 50% ya Watanzania. Chadema wanasikika kwasababu wanaongelea mambo...
  6. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Polepole ameishajivua gamba la Ukristo?

    Nimesikiliza mara nyingi hotuba za Mheshimiwa Polepole, na nimejiridhisha pasina shaka kwamba huyu ndugu ni Mkristo, tena aliyebobea katika ujuzi wa Biblia. Katika hotuba zake anazoziwasilisha kwa weledi wa hali ya juu, mara nyingi akimaliza episode ya kwanza, huwa anaahidi kwamba siku fulani...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Polepole episode 5 ni dk 50 zijazo ila anaweza kuwahi pia

    Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana Jakamoyo ni kubwa na kimuhemuhe ni kingi.. Haijajulikana leo atasema nini lakini iko wazi kwamba atazidi kuleta mafunuo...
  8. Kalamu Yangu

    JamiiForums Tanzania Polepole, twende polepole utuambie na hili

    Kaka Humphrey kwanza nikupongeze kwa kazi njema unayotufanyia watanzania.Kwa kuwaanika 'wahuni' na uhuni wao , sie wasakaonge na wanywa kahawa huwa tunapata cha kujadili kila machweo. Sauti yako ya upole na msisitizo kila unapotupa madini huwa inatumika kama rejea kwenye mazungumzo yetu...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo, mtakatishaji fedha maarufu barani Afrika alikuwa na agenda gani Ikulu jana (Agosti 12, 2025) kabla ya Harambee ya CCM?

    Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM. Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Polepole Leo vaa T-shirt ya Chama [nje-ndani]

    Katika Press ya Leo. Vaa T-shirt ya Chama (nje-ndani) kuonyesha msisitizo. Usisahau kuvaa usongo kichwani.
  13. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mange na Polepole si za kubeza kama taifa tujitathimini kwa kinachoendelea

    Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote tunajua jeshi la akiba ni migambo na wanatambulika sasa hili kundi la vijana walikusanywa na kupewa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Polepole anatuita wanasiasa uchwara kisa nimesema nitampa kazi Rais Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais...
  15. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Polepole anayoyabwabwaja yote ilitakiwa ayayabwabwaje mwanzoni, ameshalamba asali ya Ubalozi na ubunge lakini hakuyasema

    Edward Kakwale ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutokana na Rais Mstaafu wa awamu wa nne Dkt. Jakaya Kikwete kujibu hoja ya Polepole siku ya uzinduzi wa kampeni za CCM pamoja na mwanachama wa CCM Rostam Aziz pia kumjibu Polepole. Akizungumza na...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Polepole ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa Rais Samia asigombee urais

    Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia. Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole. "Naomba Watanzania wenzangu popote...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tajiri Rostam kakatazwa asiongee. Je, Polepole anaelekea kushinda hili game!?

    Tajiri Rosti akiwa na madaktari wawili akitaka kuongea ghafla mahojiano yakaota mbawa,nini Maana yake!!?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzalendo wa kweli, msijibu threads zinapomponda Polepole, naona zinamiminika. Just ignore them with no response

    Naona kuna kundi kubwa la chawa wanaanzisha threads kibao AGAINST POLEPOLE. The majority wamejiunga 22/8/2025 Dawa yao ni kuzi ignore. HAKUNA KITU KINAUMWA KAMA MTU KUWA IGNORED! Polepole anachokifanya kiungwe mkono. hata kama nyuma alifanya yasiyopendeza, kwa hili tumuuunge mkono kwa vile...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole amechanganyikiwa anapoona mipango yao imefeli. Walitaka wajumbe wa CCM waseme uchaguzi urudiwe wampitishe Gwajima

    Wajumbe wa CCM walimpa Samia ushindi kwa 100%. Mlikuwa mnasambaza video ile jamaa anasema mgombea (Rais Samia )atoke chumba cha kupigia kura mukiwa na lengo la kuuaminisha umma kuwa Samia hakubaliki na wajumbe. Samia honestly alisema kama hawamtaki wamkate tu mbele zake hana shida . Wote 100%...
Back
Top Bottom