pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiona hauwezi kurudia round ya pili ujue tatizo ni hili

    Wataalam wanasema round ya kwanza inaamuliwa na MWANAMUME ila round zingine zooote zinazofuata zinaamuliwa na MWANAMKE. Kwahiyo ukiona unaenda vizuri round ya kwanza lakini baada ya hapo hauwezi kuendelea au unakinai tendo basi ujue tatizo lipo kwa huyo baby wako. Kama baby wako amenyooka...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya PPF KISEKE - Mwanza mbovu sana Mwaka wa pili haina matengenezo

    Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi tunaingia gharama kubwa kufanya matengenezo ya magari yetu. Mpaka leo hii hakuna matumaini ya...
  4. JamiiForums Tanzania Channel ten..rekebishen tangazo la mkutano WA ccm mwisho mmeandika tar mwezi Mwaka 2024Siku ya pili ♌

    Polen najua n MAKOSA ya kibinadamu Si mbaya tukayasahihisha Nimeangalia tangazo linasema kutakuwa na mkutano WA kamati kuu ccm Dodoma ANGALIEN mwishoni mmeandika tar mwezi sawa Mwaka 2024 badlaa ya 2025 Naamini tutaona tofauti Thx
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja. Naomba kuuliza, ni...
  9. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ameingia kwenye mahusiano na mwanamke wangu. Moyo wangu unauma sijui nifanye nini?

    Habari za muda huu, Naitwa Jacob nina miaka 24, nipo chuo, naomba msaada wako kwa jambo nilopitia. Kwa sasa nimeingia mwaka wa pili, mwishoni mwa mwaka jana nilipata mpenzi ambae ni first year, anasomea diploma ya pharmacy anaitwa Kyrie (18 years). Nilimtongoza akanikubalia basi tukawa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Tujadili Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yaliyo Tangazwa Jana

    Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi ya shule zimeonyesha mafanikio makubwa, nyingine zimebaki nyuma, zikikabiliwa na changamoto...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kuchaguliwa kuwa Rais 2025-2030, Rais Samia aandae mchakato wa maridhiano awamu ya pili ambao utakuwa na mambo makubwa zaidi

    Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa. Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote. Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
  15. JamiiForums Tanzania Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

    Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP. "Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William...
  17. JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  19. JamiiForums Tanzania Nakuja mara ya pili Mchumba anahitajika

    Nakuja mara ya pili Mimi ni kijana wa miaka 33 Kazi: Umachinga,Udereva na utalii Dini : Mkristo Mkazi : Arusha Kabila : Mchagga Elimu : Diploma Vigezo vya mchumba Awe zaidi ya 23 Na isiyozidi 29 Dini awe mkristo Mkazi awe wa Arusha Asiwe na mtoto tu Kabila,Elimu na rangi sio issue saana Ukiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

    Falsafa za Fadlu kipindi cha pili itasababisha siku Simba ifungwe magoli mengi Mohamed Hussein anatoa boko nyingi sana siku hizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…