pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  2. Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  3. Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  4. S

    Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  5. INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  6. Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  7. Natafuta pikipiki ya mkataba

    Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
  8. Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  9. D

    SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  10. V

    Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Kwa anejua kampuni inayokopesha pikipiki
  11. Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  12. Watumiaji wa pikipiki haojue express

    Habarini wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii; 1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla 2. Upatikanaji wa spare zake
  13. B

    Pikipiki inakunywa sana mafuta

    Wakuu nina pikipiki yangu skymark winner inakunywa mafuta kama jini, naombeni ushauri.
  14. Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  15. Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  16. Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
  17. Pikipiki isiyo na vioo vya pembeni ni hatari

    Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia! Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini? Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia...
  18. Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  19. L

    INAUZWA Pikipiki TVS & Boxer

    Kwa Mahitaji ya pikipiki Aina ya TVS na Boxer BM/ BMX Tupigie 0652659775/0620617985 N.B ni kwa DSM pekee
  20. Furssa ya ajira fundi pikipiki

    Abraar Education Centre tunahitaji fundi pikipiki mzoefu ambae ana uwezo wa kutatua matatizo yote ya kiufundi kwa pikipiki zilizozoeleka Tanzania. Tunaanzisha kituo kipya cha mafunzo ya ufundi pikipiki kwa vitendo. Fundi awe na uzoefu wa kutosha kufanya kazi zake bila kusimamiwa. Kutatolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…