picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama hutaweza kuandamana, tusapoti kwa kupiga picha na video clear za kuonesha sura mapolisi na wote wenye silaha

    Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi kuisha hadi samia aishie, kama anasema amepata kura 98% sasa kesho tutaona hao milion 32...
  2. JamiiForums Tanzania Picha chache za kumbukumbu ya siku ile ya giza

    Majambazi yakirandaranda yaliuwa mpaka wale ndugu zetu wenye matatizo ya akili hili roli kwenye picha ya kwanza ndio lilikuwa ambulance yao ya majeruhi na marehemu. Gladhabu ya waandamanaji 1.Moja ya vituo vya ubagazaji kura kikiwa kimebaki gofu.Hii sehemu ilitumika kufanyia uwizi wa kura...
  3. JamiiForums Tanzania Picha: Vita ya Vijana na Wazee

    Baada ya Wazee kuhudhuria mkutano wa Rais Samia na kuonyesha kumuunga mkono kwa kupiga makofi na vigeregere kwa kila aliloongea. Vijana wameamua na wao kutowaunga mkono wazee kwenye madaladala.
  4. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  5. JamiiForums Tanzania Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

    Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ? https://tanzaniamassacre.org/Massacre Hii sio sawa...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Polisi sharia ni nini ? Hatujazoea hizi lugha huku Tanganyika

    Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

    Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndio CCM wanavyoona ile picha ya watalii wanaoondoka

    Mtu wa kawaida: Picha (hapo chini) ikionyesha watalii wakiondoka Tanzania kwa kile kinachotajwa kuhofia usalama wao kuelekea D9. Ukiwa CCM na chawa kama CV no 2: Picha hapo chini ni Mamia ya watalii wakimiminika Tanzania kwa ajili ya kufurahia likizo yao.
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

    Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30. ic
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa akili unde

    Huku ukieleza nyenzo ya kidigitali uliyotumia, bainisha picha halisi iliyotumika kutengeneza video hii.
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katuni hii ya machawa inakupa picha gani?

  14. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Huyu dada alichukuliwa na Polisi akiwa nyumbani hajarudi mpaka leo

    Kauli za wahalifu halsi zinasema waandamajai walikuwa raia wa kigeni, walikuwa hawaogei kiswahii na walilipwa. Je, vipi kuhusu ndugu zetu waliochukuliwa wakiwa nyumbani na hawa Polisi, nao walikuwa raia wa nje? basi tunaomba muwarejeshe na kutupa takwimu tujue hatunao tena kisha tukazike...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa mtizamo gani? Je, Serikali kwa mara nyingine inajaribu kuficha ukweli?

  16. I

    JamiiForums Tanzania Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini

    Siamini macho yangu. Anyway natafuta attention Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha hii inakupa taswira gani ?

  18. JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Sheikh , Ibrahim Bakonzi

    Nimewaletea picha maridadi za yule shekhee wa mchongo limbukeni wa elimu duuniya, aliyesema atakata watu vichwa baada ya kuhongwa pilau na dullah.. Anaitwa Ibrahim Bakonzi, asili yake ni kigoma ila kwa sasa anaishi magomeni daslam... Kulingana na majina yake yamkini huyu tahira ni Mcongo...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya Picha za Kihistoria ya "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu Unadumu” Yasawiri uhusiano wa Miaka 65 wa Somalia na China

    Uhusiano kati ya Somalia na China ulioanza tangu enzi na dahari sasa unaendelea kukita mizizi yake zaidi kwenye nchi hizi mbili. Kupitia maonesho ya picha yaliyozinduliwa hivi karibuni na balozi wa Somalia nchini China Hodan Osman Abdi ambayo yamepewa jina la "Pamoja Tunasafiri, Urafiki Wetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…