EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,305
- 20,945
Majambazi yakirandaranda yaliuwa mpaka wale ndugu zetu wenye matatizo ya akili hili roli kwenye picha ya kwanza ndio lilikuwa ambulance yao ya majeruhi na marehemu.
Gladhabu ya waandamanaji
1.Moja ya vituo vya ubagazaji kura kikiwa kimebaki gofu.Hii sehemu ilitumika kufanyia uwizi wa kura wa uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024
2.Ofisi ya TRA ikiwa imebaki pagala