Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini

Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini

Ipo siku TU

Member
Joined
Nov 26, 2025
Posts
38
Reaction score
92
Siamini macho yangu.

Anyway natafuta attention
Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
 
Siamini macho yangu.

Anyway natafuta attention
Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
IMG-20251126-WA0062.jpg
 
Siamini macho yangu.

Anyway natafuta attention
Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
Kwani wewe ni wa upande/mlengo upi! Ke, au me? Una miaka mingapi! uko wapi! una elimu gani! Unatafuta kazi gani! Mawasiliano yako yako wapi?
 
Kwani wewe ni wa upande/mlengo upi! Ke, au me? Una miaka mingapi! uko wapi! una elimu gani! Unatafuta kazi gani! Mawasiliano yako yako wapi?
Habari mkuu mimi ni mwanaume wa miaka 25 nipo tabora Ila naweza kufanya KAZI POPOTE nchini. Natafuta KAZI yoyote
Nina shahada ya maendeleo ya jamii
Mawasiliano PM Tafadhali ili kulinda privacy yangu wakati huu wa ujio wa kesi za uhaini
 
Siamini macho yangu.

Anyway natafuta attention
Naomba connection ya KAZI yoyote POPOTE nchini ahsante
Tafuta kwa wala a.k.a wabugia keki ya taifa chap kwa haraka unakula connection.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom