picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ukionyesha picha msanii akifanya show Leo Christmas, nakupa laki 1

    Mimi ni mkweli na Kwa Imani yangu kuvunja ahadi ni dhambi kubwa na Mimi sipo tayari kubeba dhambi kubwa ya kufanya dhulumat Kwa kuvunja ahadi Njoo na picha ya msanii akifanya show Leo na kesho boxing day popote Tanganyika Nikisema msanii naomba mnielewa usije ukaleta wasanii wasio na majina...
  4. JamiiForums Tanzania Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

    Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania. Twende pamoja Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025 Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya

    Najua kuna watu wanatamani kuona mandhari ya jiji la Mbeya lakini ukizisaka mitandaoni unaona kuna very limited number of photos na nyingi ni za zamani Sasa ngoja nikuoneshe picha mbalimbali ujionee mandhari ya baadhi ya maeneo ya Mbeya. Japo sijapiga picha za mjini au Kabwe/Mwanjelwa, hizi...
  7. JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Hekaheka za Krismasi mjini Chato

    Maandalizi ya sikukuu huko Chato
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Jeshi bora Afrika ya mashariki, JWTZ likiwa linajiimarisha katika mazoezi ya kijeshi,

  10. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  11. JamiiForums Tanzania Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  14. JamiiForums Tanzania Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

    Picha ya kwanza ( Sisi) Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala. NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu. Picha ya pili (Wao) Miili nadhifu...
  15. JamiiForums Tanzania Kupiga picha na Guterres haitoshi kuthibitisha kuwa UN imepongeza Tanzania

    Anaandika Godlisten Malisa Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii. Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
  16. JamiiForums Tanzania PICHA: Waziri Kombo aibu hii umeonesha mbele ya Katibu Mkuu wa UN, António Guterres

    Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi. Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe. Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Jana na CCM ya Leo katika picha!!

    Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni viongozi wakuu na waandamizi Kwa vyama vyao. Kutoka kushoto mstari wa Mbele ni Stephen Wassira, William...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi: Ni picha mjongeo ya zamani kuhadaa wananchi kuandamana

    Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza. Hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo kama kuna ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Maadhimisho ya miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika

    Taswira ya maadhimisho (ambayo hayafanyiki) ya Miaka 64 ya Uhuru nchini Tanzania baada ya polisi kujaa mitaani kudhibititi maandamano yaliyopangwa kupitia mitandao ya kijamii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…