picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkasa wa Joseph Kasella Bantu na Picha ya Waasisi wa TANU

    Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake. Nilikuwa nimemueleza mwanae mmoja kuwa nimeandika makala hiyo na yeye...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Yaonya: Kupost Picha ya Ballot Paper Iliyopigwa Kura Inaweza Kukugharimu KSh1 Million au Miaka 3 Jela

    Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imewaonya wapiga kura wa Ol Kalou kwamba kushare picha ya marked ballot paper kwenye social media ni kosa la kisheria. Kulingana na onyo hilo, mtu atakayepatikana amepiga au kusambaza picha ya ballot paper baada ya kupiga kura anaweza...
  3. JamiiForums Tanzania "Now You See Him Now You Don't": Mkasa wa Picha ya Waasisi wa TANU 1954

    NOW YOU SEE HIM NOW YOU DON'T: MKASA WA PICHA YA WAASISI WA TANU 1954 Miongo minne iliyopita... Hiyo makala "Now You See Him Now You Don't," yenye jina True Muslim huyo ni Mohamed Said. Baada ya makala hii sikuficha tena jina langu. Hii makala Ally Sykes aliisoma na ilimgusa sana moyo wake...
  4. JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  6. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilikuwa kikosi cha Ureno cha vidume, acha hawa wapiga picha za insta. Hawa ndio waliji submit kwa Ronaldo na kucheza kama timu

  7. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  8. K

    JamiiForums Tanzania Piga picha Lissu angewa mwenyekiti na Wenje makamu wake, mind you that Lisuu angewa gerezani kama ulivyo sasa

    Jamani nauliza, mmewahi kujiuliza kama Wenje angewa makamu wa Lissu wakati kama huu chama kingewaje?
  9. JamiiForums Tanzania Wapiga picha bwana... mnatupiga picha za nini kama hatutazipata?

    Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja... mbili... kumi... hadi zaidi ya 50. Ukiona hivyo unajua leo boss umedebedesha. Lakini event ikiisha ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mtu akitoa msaada lazima apige picha na mpokeaji?

    Au mtaji ni wasiojiwezaa
  11. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

  12. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Unapenda picha za kuchora kwa mkono au za mashine?

    Mie ni mpenzi sana wa picha za kuchora kwa mkono, picha za ubunifu kuliko za kuchora kitumia programu au mashine. Kuna picha zinachorwa na wasaanii wa uchoraji mpaka mwenyewe unabaki kuwaza huyu mtu aliwaza nini? Wewe unapenda picha gani, au bora picha. Tupia picha zako kali za kuchora kwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je hii ni picha halisi?

  15. JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  16. JamiiForums Tanzania Sisemi kitu Picha yenyewe inajielezea, angalia Picha kisha jaribu kujiuliza ungekua wewe ungefanyaje?

  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya raia wa Zimbambwe baada ya kurudi akitokea Afrika Kusin tangu 2009

    Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kalenda za picha ya mama hazipo mitaani na anakubalika 97%

    Nimekutana na machinga wauzao kalenda mitaani akinionyesha kalenda yenye picha ya mwl Nyerere, Magufuli, Cha ajabu nilipomuuluzia picha ya mama akaniambia hiyo picha licha ya kuwa haiwezi kuuzwa lakni unapopita nayo mitaani unatakiwa kuwa na tahadhari sana. Inavyoonekana sijui ni nani...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu picha za noti za Fedha huandikwa SPECIMEN badala ya kuoneshwa kama zilivyo?

    Ukienda kwenye tovuti za benki kuu, majarida, matangazo au habari zinazohusu fedha, mara nyingi utakuta picha ya noti imeandikwa neno kubwa la "SPECIMEN" katikati. mbona vitu vingine vya thamani kama magari, nyumba, dhahabu,hati n.k picha zake huonyeshwa kama zilivyo bila kuhaririwa.na sio kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…