picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu picha bahari ya Galilaya kutokea angani inavyopendeza na kufanana na ramani ya bara la Afrika, Yesu Kristo alitembea juu ya maji yake

    Wadau hamjamboni nyote? Bahari nzuri ya kupendeza ya galilaya imefanana na bara la Afrika Maji yake Yana baraka kubwa sana Mungu ibariki Israel
  2. JamiiForums Tanzania Tumia jedwali hili la picha, ili uonekane nadhifu na mjanja kila wakati

  3. L

    JamiiForums Tanzania Mnajifunza Nini Katika Picha Hii ya Hayati Dkt Magufuli Akikumbatiana na Dkt Jakaya Kikwete kwa Tabasamu na muonekano wa macho ya hao wengine?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni picha ya kumbukumbu nayowaleteeni hapa Jukwaani ikiwa inaonyesha Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya Nne ambaye pia ni Mwanajeshi mstaafu lakini pia waweza kumwita Jasusi Imara na Komandoo wa Mikakati .Akikumbatiana kwa tabasamu na...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na kufanya mazungumzo na Jaji Joseph Warioba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara ndugu Amani Golugwa leo wamemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba ofisini kwake. Katika ziara hiyo maalumu, Tundu Lissu amekuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu kuhusiana na masuala mbalimbali kuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Weka picha mbalimbali za wapenzi wa Simba wakiwa na huzuni

    Niwatakie usiku mwema
  7. JamiiForums Tanzania Picha za kipekee zikionesha muonekano wa mashetani, take a look.

    One is responsible for legalizing crime. The other is responsible for financing crime And the last demonic left guy is responsible for committing the crime against humanity and he has an ICC arrest warrant. Ladies and gentlemen, here is how demons looks like.
  8. JamiiForums Tanzania Angalia picha ya nyumba hii toa ushauri

    Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669 Turudi kwenye mada unaonaje hii design
  9. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinajieleza CHADEMA Vs CCM

    CCM vs CHADEMA. Picha ipi hasa imeelekea kuongoza nchi kwa amani. Utulivu? CCM wamekalia hasa kiongozi uongozi, picha inajieleza, pia hekima na busara uongozi wa CCM CHADEMA ya Lissu imeelekea uharakati harakati zaidi na kukosoa kosoa. Katika suala la kujenga amani nchi yetu CHADEMA ya Lissu...
  10. JamiiForums Tanzania Maadui wakubwa wa soka la bongo katika picha!

    Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha. Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
  11. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kwa mtuhumiwa kupigwa Picha na kuwekwa katika mitandao?

    Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama. Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku. Kumbukeni huu ni uzalilishaji. Leo hii mimi...
  12. JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Hawa ndio viongozi shupavu ambao Joyce Banda, PAKA na washirika wake M23 hawatokuja kuwasahau kamwe

    Niaje waungwana Chini ya miamba hii, nchi yetu ilikuwa salama, imara na tishio zaidi kuliko kipindi chochote kile kilichopita, kilichopo na pengine kinachokuja. Joyce Banda alitest mitambo, kuona kikosi tu na vifaa vichache kwenye taarifa ya habari, huku boss mkuu Kikwete akizungumzia swala la...
  14. JamiiForums Tanzania Kuku 10 bora Duniani

    1. Silkie Chicken 2. Ameraucana 3. Gold Laced Wyandotte 4. Polish Chicken 5. Playmouth Rock 6. Cochin Chicken 7. Hamburg Chicken 8. Mille Fleur D'uccle Bantam 9. Sebright Chicken 10. Brahma Chicken Kwa mazingira ya Afrika sidhani kama tunatazama breed kikubwa awe kuku...
  15. JamiiForums Tanzania Weka Picha za Magari ya Leyland Tanzania

    Leyland ilikuwa ni brand kubwa sana ya magari mazito ya kiingereza kuliko Scania, Benz, na Fiat enzi hizo. Yale magari ya Leyland CD (Clydesdale) na Leyland (Albion) yalikuwa hayashindwi mlima au matope kwenye sehemu yoyote Tanzania wakati barabara zetu zikiwa mbovu sana. Hayakuwa na spidi...
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

    Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
  17. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  18. JamiiForums Tanzania Picha hii ina tafsiri gani?

    Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo...... Disclaimer: Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
  19. JamiiForums Tanzania Picha hii kuna mengi chini ya kapeti

    Ukiangalia vizuri kabisa katika picha hii jicho la kiroho ,utagundua kuwa kuna mengi sana yaliyojificha nyuma yake. Pengine ndio root ya kilichofanyika Dodoma.
  20. JamiiForums Tanzania Nimetazama hii picha ya mwanaume aliye iacha familia na Ndugu zake TZ kweli jamaa wamejitolea aisee

    Nawaombea wote warudi salama💪
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…