pesa

  1. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  2. W

    Kodi vyumba viwili guest kuepuka kuibiwa pesa zako na demu uliyemnunua kulala nae!

    Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako. Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
  3. Mwanamke anafutwa machozi kwa Pesa siyo leso

    Ukihitaji salamu nenda kijijini kwenu, kwangu huo muda sina utaambulia chuya tu!. Hivi nyie mashorobaro ni lini mtapata akili? Hivi aliyewaambia mwanamke ukimuudhi umpatie leso au tissue afute machozi nani? Leo sina mengi,nadhani ujumbe umefika. Sina muda wa kuandika nina muda wa kutumia pesa.
  4. Kosa kutumia pesa usiyoitambua

    Wana JF, Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
  5. Rasilimali za nchi zina wenyewe, nchi inaendeshwa kwa pesa za sigara, bia, pombe, vinywaji, kamari na PAYE tu

    Mchanganuo. - Mikopo inayokopwa inaonekana ndio hutumika katika (Miradi mikubwa kama SGR, Rami, Nyerere Gorge na kulipa mikopo mingine. - Tozo za Mafuta na simu hufanya (miradi midogo Kama madarasa, majengo ya Vituo vya Afya ) - Misaada kutoka kwa wazungu ndio hugharamia huduma za (Afya) -...
  6. M

    Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  7. Kua uyaone, weka mkasa wako hapa ulipogundua pesa si kila kitu

    Yes, Pesa sio kila kitu, ni mpaka ikosekane kabisa ndio kila kitu ila ukiwa nayo hata kiasi sio kila kitu. Najua kuna msemo siku hizi kila mara "Tafuta Pesa" ila ukichunguza ni athari za watu walioishi katika umaskini tangu wadogo hivyo kisaikolojia wanaamini pesa ni kila kitu, siwezi kuwalaumu...
  8. Shetani anawaambia wasanii wanaotaka kutoka kimaisha wamsujudie, wakikubali anawapa pesa na umaarufu

    Habari za asubuhi! Shetani anamiliki pesa, Mali na umaarufu. Akikuona unatafuta umaarufu tu lazima atakufuata na kukuambia kuwa usihangahike, what you find it's belongs to me. Tulia nikupe huo umaarufu na nitakuwekea pesa juu yake. Mara nyingi mwanzoni atakuja kama malaika (mtu mwema) na...
  9. T

    Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  10. B

    Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  11. Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Wakuu, Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? Ama ni wastage of money na hamna ulazima?
  12. Wamarekani weusi wanaokuja Tanzania wanalalamika sana tunawabagua, maisha magumu, wanarudi Marekani pesa yote imekata, Shida ipo kwao sio kwetu ?

    ukiingia Youtube sikuhizi kuna wamarekani weusi wana ajenda yao ya go back to Africa, yaani kurudi Afrika, wanakuja nchi za Afrika ikiwemo Tanzania lakini wanafeli maisha wakifika huku, kinachofuata huwa ni kuandaa video za malalamiko kwamba tunawabagua, maisha magumu, n.k. Mimi kwa mtazamo...
  13. Nimetumiwa pesa toka CRDB kuja Airtel money tangu jana Alhamis hadi leo Ijumaa haijaingia

    Naombeni msaada Nifanyaje jana mafundi walikuwa site nusu wanipige makofi. Pesa imetumwa kutoka CRDB kuja Airtel money tangu jana alhamis saa 12 jion hadi saiz naandika ni saa 12 asubuh pesa haijafika CRDB Wanasema pesa imeshatumwa Airtell Money wanasema hakuna muamala wowote.
  14. Mwanaume alieanza kujitafutia sio sawa kumtumia pesa mama badala ya baba, Sio sawa hata kidogo kusema nani kama mama

    Hii ni maada kwajili ya wanaume ambao tayari wameanza kujipambania na wanajua hali ilivyo, wale ambao bado hamjaanza au mna shughuli zenu ila mnakaa kwa wazazi mpishe kidogo. Wewe mwanaume ambae ni kichwa cha familia na unajua jinsi upambanaji ulivyo, umepambana kutafuta pesa ya chakula...
  15. Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  16. Namuacha kwa sababu ana matumizi makubwa ya pesa

    Huyu mpenzi wangu nilitaka nimuoe ila nimeahirisha. Kila nikiacha hela asubuhi, hata kama ni nyingi, lazima aitumie yote. Mfano; Leo niliacha elfu 50 na ndani kuna shehena za unga, mchele, maharagwe, mafuta ya kupikia, unga wa ngano, viungo vyote vya mboga n.k. Lakini nimerudi nakuta imetumika...
  17. kampuni ya sports pesa tambueni kuwa mla huliwa....

    kampuni ya sports pesa kila siku mnakula pesa za vijana wanaoshinda wakibahatisha michezo mbalimbali, ila nyinyi mkiliwa mnaumia sana...jana nimeweka 50000 kwa mechi ya singida united na jku dakika ya arobaini na nane naona pesa yangu inarudishwa kwangu , wananitumia meseji kuwa mechi...
  18. Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  19. Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  20. Hamna mwanamke mwenye msimamo pesa ikihusika

    Nilikutana na manzi mmoja nikawa nae kimahusiano, kabla hajanijua sana nafanya mishe gani na kiuchumi nikoje alikuwa na masharti sana, kwanza nilikuwa nikitaka utamu mara kwa mara akadai ye hajazoea na hawezi so nikawa naambulia mara 1 kwa mwezi 😭😭, ikaenda mambo yakawa kibao, ikawa nakula tunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…