pesa

  1. M

    Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  2. Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  3. Hakuna mkate mgumu kwenye chai, hakuna mwanaume anayeweza kumnyima mwanamke pesa

    Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam. Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro". Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu...
  4. Raha ya mchepuko úwe pisikali au úwe na Pesa hata Mkeo atakuelewa

    Kwema Wakuu! Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo. Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na Saba, kifua thelasini na tatu. Mtoto laini kama nyama ya ulimi. Dadeki! Yàani ukimtazama hivi...
  5. Weka wimbo /msemo(quote) wowote unao hamasisha utafutaji wa PESA

    Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana . mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja...
  6. Pesa ya mpenzi wako haikuhusu

    Hata siku moja usitegemee wala kutarajia hela kutoka kwa mpenzi wako, iwe ni kuomba au kumkopa, na ieleweke ya kwamba hapa nazilenga jinsia zote mbili. Zingatio zaidi kwa upande wa mwanaume, jiepushe kujenga mahusiano na broke woman kwa sababu atakua liability kwako. Binafsi nikiwa katika...
  7. Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

    Leo nilikuwa na bando la kuchezea nimejikuta naangalia video za vichekesho/vijana wanaoitwa machawa Baba Levo,Mwijaku na Huyu Doto Magari nimeona jinsi gani hawa jamaa wanavyoishi kwa ujanja ujanja kwa kutumia vinywa vyao kuzusha misamiati,kujichekesha hovyo na kutoa maneno ya kufurahisha jambo...
  8. Unapomlipa Mtu Pesa kuwe na Nyaraka ya Uthibitisho

    Watu wamekua na Tamaa sana, na Roho ya utapeli, usimuone mtu kama ni Muislamu/Mkristo ukajua moyo wake ni safi na atakua mkweli kwa kila jambo. Dunia ya sasa watu wamekua sio waaminifu na inatakiwa kila unachokifnya kiwe na documet ya ushahidi ili kuepuka matatizo ya yatakayojitokeza mara baada...
  9. Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

    Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule! NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
  10. Kweli nchi hii inatafunwa, Rais Samia amekiri jinsi wakuu wa mashirika ya Umma, wanavyojidai, jinsi wanavyoiba pesa za Umma!

    Nimemsikia mwenyewe LIVE, wakati Rais anatoa hotuba leo huko Arusha katika kikao Cha watendaji wakuu wa Taasisi za Umma, akikiri kuwa katika miaka Ile ya mwanzoni wa miaka ya 2000 wakati alipokuwa Waziri wa kawaida, aliwasikia baadhi ya wakuu wa mashirika ya Umma, namna wanavyojimwambafai, Kwa...
  11. F

    Inasemekana mtangazaji mmoja wa wachafu tv pesa alizokuwa anahongwa majuu na mshangazi ametumia kama mahari kwa covid I 9

    Aisee inasemekana mtangazi mmoja wa wachafu tv bwana x pesa alizokuwa anahongwa na mshangazi ambaye anaishi majuu ametumia kuhonga au kulipia mahari kwa wale watu wa covid 19 upande wa singida ndiyo maana jamaa kwa sasa route za majuu zimekata kutokana na mshangazi amekata kutoa fund raise kwa...
  12. Napenda kufanya biashara muda wote ninashika pesa tofauti na kusubiri mshahara mwezi hadi mwezi

    Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi. Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
  13. Hii nchi ina matahira wa kutosha. Inakuwaje mtu ajivunie pesa za msaada wa COVID-19?

    Hello! Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini. Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro. Inamaana bila...
  14. Pesa za Umma zinatumika vibaya na tuko kimya kama kondoo

    Nimeona upuuz wa kizmkazi na tukio la kufuja pesa za wananchi wafuja jasho Watu wa kada mbali mblia redio kubwa kubwa zote ziliamia kizimkaz kurusha matangazo live na Leo kukuzanya wakuu wote wa mikoa na wilaya kulazimizhwa kufika zanzibar kizmkazi. Watanganyika umetulia kama kondoo huku...
  15. G

    nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  16. Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  17. F

    Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

    . Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...
  18. Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

    Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
  19. Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  20. Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…