pesa

  1. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa njia ya mtandao?

    Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
  2. JamiiForums Tanzania Ng’ombe wa Maziwa Mjini: Dili Unaloishi Nalo Bila Kulijua!

    Wengi huamini kwamba ufugaji wa ng’ombe ni shughuli ya mashambani au vijijini pekee. Lakini ukweli ni kwamba — mjini ndiko kuna fursa ya haraka, ya uhakika, na yenye faida kubwa! Jiulize: Unayo nafasi ya kujenga banda? Kiwanja cha familia? Kiambaza kisichotumika? au sehemu ndogo iliyobaki...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  4. JamiiForums Tanzania NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Hello, Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu. NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita. Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
  5. JamiiForums Tanzania Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

    Tembea ufurahi
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi CAG anajua pesa zinazotumika kwenye haya matamasha yanaendelea nchini.

    Tamasha la sungusungu, mara tamasha la bulabo... Haya matamasha yanatumia pesa za walipa Kodi wa Tz he CAG analijua ilo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zimeenda wapi mtaani au wengi hatujui kuzitega

    Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015 ukiwa na Dili ya pesa nyingi unawapigia wanao wawili wakuwekee fedha unafanya Dili unawarudishia...
  9. JamiiForums Tanzania Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

    1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya 2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+ 3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana, tatizo kuhonga 4. Boda boda - honga yao ni lift za bure na wanajuaga nani kabanwa na marejesho...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

    Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
  12. JamiiForums Tanzania SWALI: Kwanini watu wenye ibada pasipo na ukristo na Uislamu. Mbona dini zao ziko na pesa ?

    SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa free la kulipia ili kuchota marifa zaidi na Utambuzi zaidi na zaidi . Swali la kwanza ameshinda...
  13. JamiiForums Tanzania Tumia pesa kupata pesa

    ujanja ni pesa yako isitoke hivihivi, kama nimekosea mtaniambia
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING

    Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa anaefahamu issue kama hii anisaidie mawazoo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli kuna pesa za freemason?

    Hello, Mara nyingi nimesikia stori za watu kuwa kuna pesa za freemason,. Ingawa mimi binafsi naona ni utapeli ulioanzishwa na watu hasa mitandaoni ili kutapeli watu. Je, ni kweli kuna pesa za freemason?
  16. JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu hii code ya kupiga pesa Facebook

    nishasanuka!!!! Endeleeni ku’gatekeep!! Now ni kudownload hela tu🔥🔥🔥🔥
  17. JamiiForums Tanzania Ewe mwanasiasa unaefanya anasa kwa pesa za umma, Hauwaonei huruma watanzania wenzako wanaoteseka?

    Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k Lakini pia kuna mtanzania muda huu hajui wapi atapata pesa ya kukomboa maiti ya ndugu yake ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania CCM mnachukia nini tukisema hii Tsh. Trilioni 107 ni Deni la Mama

    Tangu tuanze siasa za uchawa nchini, kila kitu kinachonasibiwa ni cha kimaendeleo kinaitwa cha mama. Sasa kwanini wanaCCM wanakunja ndita tukisema hili ni deni la mama?
  19. JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa na akili timamu ukashabikia Simba na Yanga. Ni ngumu sana labda uwe unapiga pesa

    Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili. Naona tu hata humu JF wengi walishaamua kuacha akili nje wakaingia ndani ya hizi team kinyume nyume wameinama na kushika kichwa. Na...
  20. JamiiForums Tanzania CEO wa Yanga, Andre Mtine: Tunataka Pesa yetu ya Ubingwa ndio kitu tumewaambia TFF

    CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…