pengo

The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Pengo kwenye Muungano

    Zanzibar ina Rais, ina wimbo wa taifa, ina bendera ya taifa na ya Rais, ina Baraza la Wawakilishi, ina Baraza la Mapinduzi, ina Valantia, Mafunzo na KMKM, ina Serikali Kamili ya Mapinduzi SMZ, ni taifa kamili lililoungana na Tanganyika kutengeneza Tanzania bila kupoteza utaifa wake. Mojawapo...
  2. demigod

    Kuna pengo kubwa sana la Zawadi Mauya Taifa Stars

    Yule dogo Nivatus ni Mzuri ila anahitaji kuoneshwa namna mpira unaotakiwa kuchezwa. Na mtu pekee hapa Tanzania mwenye uwezo wa kumfundisha mpira dogo Novatus ni Zawadi Mauya. Pia pengo la zawadi Mua limeonekana kwa kuwa ni aina a mchezaji ambaye hakatiki pumzi kama Mzamiru Yasini. Ombi langu...
  3. Area 56

    Pengo la Haji Manara, Simba yakodisha vipindi vya Clouds Fm ili kutangaza tamasha la Simba day

    Yaani leo hii Simba wakukodi vipindi vyote vya clouds fm ili wapigiwe promo ya tamasha lao, hii ni aibu kubwa sana! Tangu jumatatu wiki hii vipindi vya leo tena na sports xtra havifanyiki studio bali vinafanyika mtaani tena kwenye matawi ya klabu ya Simba. Inaonekana Mo amelipa hela nyingi...
  4. Zero IQ

    Mwanaume ukiondoka kwenye familia inabidi pengo lionekane

    Wanaume tujitahidi sana sana kuwapenda wake, wapenzi wetu tunaoishi nao, Busu(kiss) ni siraha tosha ya kuimalisha mahusiano, Asubuhi ukiamka mbusu mkeo, mpenzi wako kwenye paji la uso, shavuni na tumboni, jioni pia ukirejea kazini fanya hivyo hivyo na kumtakia neno "Nakupenda sana mke wangu"...
  5. U

    Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

    Kadinali leo amemtembelea Mama Janeth Magufuli na kumzawadia Sanamu ya Bikira Maria Mtakatifu
  6. Mboka man

    Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
  7. R

    Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

    Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika. Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
  8. D

    Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

    Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho! Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo. Ugeni huo uliojumuisha watu wawili...
  9. K

    Pengo la Mkapa ni kubwa sana wakati huu

    Magufuli hakuna mtu hata mmoja anaweza kukaa naye na kumueleza ukweli bila kuna na mahitaji binafsi. Mzee Mwinyi: Anachojali ni mtoto wake kuwa rais zanzibar Kikwete: Anajali mtoto na mke wake familia inatamaa haiwezi kupumzika😂. Mama Salma hawezi hata kutoa hoja masikini Mkapa pekee ndiye...
  10. YEHODAYA

    GE2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

    Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za CHADEMA Chadema people's power...
  11. 2019

    Mimi sio mfuasi wa Gwajima lakini kumshambulia Pengo alikuwa sawa. Wapinzani acheni unafiki

    Kweli naamini mpinzani mpinzani tu,hata anaweza kupingana na mama yake kuhusu baba yake halisi. Mimi sio mwanasiasa,sina chama ni staff. Tujikumbushe Gwajima alikua wapi wakati anamshambulia mzee Pengo,katika utawala wa Kikwete Gwajima alikua mnazi haswa wa upinzani. Kilichofanya amshambulie...
  12. Dupe

    Paul Makonda amtaka Gwajima afike ofisini kwake kutolea ufafanuzi juu ya kumkashifu Pengo

    Wakati- Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka aripoti ofisini kwake keshokutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini. Juzi, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
Back
Top Bottom