The pengő (Hungarian: [ˈpɛŋɡøː]; sometimes written as pengo or pengoe in English) was the currency of Hungary between 1 January 1927, when it replaced the korona, and 31 July 1946, when it was replaced by the forint. The pengő was subdivided into 100 fillér. Although the introduction of the pengő was part of a post-World War I stabilisation program, the currency survived for only 20 years and experienced the most serious case of hyperinflation ever recorded.
Watanzania na Wakatoliki hawawezi kusahau kipindi Gwajima anamtolea maneno machafu Askofu Kadinali Polycarp Pengo.
Kipindi hiko ilikuwa ni attack kubwa kwa Wakatoliki na kutaka kuonesha kuwa sio lolote sio chochote.
Uzuri Pengo Hakumjibu na wakatoliki hawakumjibu.
Leo hii Gwajima anaipigia...
Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana halafu ubaki salama.
Ikumbukwe yeye uaskofu wake haujulikani umetoka wapi na umetokana na nini...
"Ni msiba mzito, ametutoka jamani, ametuachia pengo kubwa! Ooh, tumempoteza. Ni vigumu kueleza machungu tuliyo nayo mioyoni. Tutaendelea kumkumbuka daima. Pumzika kwa amani(R.I.P.)"
Kila dakika, kuna watu wanafariki huku na kule duniani. Maneno kama hayo husemwa na wafiwa. Ni vizuri kuelewa...
Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka.
Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na...
Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
Maana kumepwaya kila idara ya chama. Ni kama vile kunakupoteana vile.
Hakuna anaeaminika na wa kutoa uelekeo thabiti wa chama, kwasababu ya njaa kali, unyonge wa kipato na woga. Hakuna matumani kwa wanachadema kabisa.
Kitu kizuri ni kwamba kila mwanachadema anaendelea kujishughulisha na...
Huu mtaa wa loresho jijini Nairobi unaonesha kuna pengo kubwa kati ya masikini na matajiri au ni mwanya mkubwa?😁😁😁
Wakenya tunaomba mkija Tanzania kila mkitembea hatua 5 mpige saluti
Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada hiyo Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi Ludovic Joseph Minde alimpa nafasi Kadinali Pengo kutoa salamu na...
Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao.
Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya.
Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda...
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.
Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
Alama ya pengo la kijinsia duniani kwa mwaka 2024 ni 68.5%, ikiwa maana 31.5% ya pengo hilo bado halijashughulikiwa. Maendeleo
yamekuwa polepole sana, na kuboreshwa kwa asilimia 0.1% tu kutoka mwaka 2023.
Kwa kasi hii, itachukua miaka 134 kufikia usawa wa kijinsia duniani, mbali sana na lengo...
Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi.
Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli?
Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza kama movie fulani hivi.
Angalia wimbo wake wa Zuena na wimbo wa Yatapita.
Wakuu comment ziwe fupifupi
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi nisingekuwa na shaka ya kuwaza nani atafiata baada yake Magufuli” na akamalizia kwa kusema anatamani...
Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023.
Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika ufadhili wa mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa nchini Tanzania huku ikiendelea kuwezesha Dodoma...
Kabla ya kukutwa na Umauti , Mzee Reginald Mengi alikuwa na mpango wa kujenga kiwanda cha kutengeneza Simu za Kisasa zinazoitwa Smartphone .
Mpango huo ulipotea baada ya Mzee huyo kufariki Dunia .
Sasa leo Waziri wa mambo ya kigeni January Makamba amewaleta Wahindi ili kuziba Pengo hilo.
---...
Kwa kweli niseme ni kati ya watu niliokuwa napingana na ukandamizaji wa Rais Magufulu,lakini moyoni mwangu nilikuwa namkubali kwa maamuzi yake ya kuifanya Tanzania itembea kifua mbele kwa nizamu na kuwa na mmoja.
Lakini sasa tumekuwa kama yatima,yaani unaona kabisa wananchi wamepoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.