Wakuu
Hapa nimewasogezea Mnyukano mkali niliokutana nao mtandao wa X kati ya Zitto Kabwe, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Profesa Anna Tibaijuka kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings)
Zitto Kabwe (12 Juni 2025): Alikosoa pendekezo la ushuru wa...
Kumekuwa na utamaduni wa kila pesa ya taifa inapotumika kwa maendeleo inasemwa ni pesa ambayo mama yetu ametoa kama fadhila kwa wananchi wake anaowapenda.
Lakini pia umeonekana kuwa, kumbe sehemu kubwa ya hizo pesa ambazo mama yetu anazitoa huwa anakopa na mwisho hubakia kuwa deni la taifa...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake??
Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa.
UZITAYAri
Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka
Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka mkataba kati ya Israel na Hamas...
John Mnyika
Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana.
Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha...
1. Utangulizi
Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana kwa wingi katika eneo ninakoishi. Lengo langu ni kuwa wakala wa ununuzi kwa niaba ya mfadhili...
Hello bosses and roses..
Kuna kitu nimekua nafikiria kwa muda mrefu, sina uhakika sana kuhusu uwepo wake kwa sasa au inawezekana kipo lakini kinafanyika kwa njia zisizo rasmi.
Hebu fikiria scenario hizi
1) Mtu au Biashara au Kampuni X imepata tenda ya kufanya project fln na mkataba ukasainiwa...
PENDKEZO LA KESI- ICC DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA- WANASHERIA CHADEMA AMKENI NA MFANYE KAZI- FOFOFO HAIWATOI KWENYE NO REFORM NO ELECTION.
NAWAPA MUONGOZO BILA MALIPO.
Kichwa: Pendekezo la Uchunguzi wa Uhalifu wa Kisiasa na Ukiukaji wa Haki za Binadamu katika Serikali ya Tanzania
Kwa...
Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza uwazi na ujumuishi, usawa na kufunzana, Pendekezo hilo limetoa hekima ya China katika kukabiliana na...
Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
Ndugu wanajamii,
Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii.
Kutokana na hali hii...
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO.
Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia...
Wakuu wana jf amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.
Husika na mada tajwa hapo juu.
Kwa maslai mapana ya chama na kwa kuzingatia kwamba chama bado kinawaitaji mh Lissu pamoja na mhMbowe katika kuendeleza mapambano ya kuiodoa ccm madarakani, lakini pia mapambano aya bado...
Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea:
1. Uongozi wa Muda: Mkurugenzi Mkuu aliyepo madarakani anaweza kuendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda...
Kwakuwa hakuna nchi inayoutwa Tanganyika, serikali isipoteze fedha kila mwaka kuandaa sherehe za uhuru wa nchi hewa.
Pia wafanyakazi waende kazini kama kawaida maana kukaa nyumbani kwa kisingizio cha sikukuu ya uhuru wa nchi ambayo haipo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu.
Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024
Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.
Nini...
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.