Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe!
Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma.
Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana!
Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025'...