Salute Comrades!
Kuna hii ishu ambayo imenifikirisha sana mpaka nimeona niilete kwenu wadau mnipe mawazo yenu.
Yupo mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi ya kuuza bidhaa mbalimbali kama vile mahindi, maharage, ndizi, karanga na mazaga zaga mengine Kama haya.
Basi huyu mwanamke Kuna kipindi...