patrobas katambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katambi, Kombo wakutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) Duniani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Mahmoud Thabit Kombo wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM),Amy Pope ambae ameongozana Mkurugenzi wa Kikanda wa Pembe ya Afrika Mashariki...
  2. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Tutachunguza clip ya Bodaboda kuvutana na Askari Polisi, haki itatendeka

    KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026 Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments; TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Katambi: Tanzania hakuna Ugaidi, kunaweza kuwa na viashiria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Tanzania haina ugaidi, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria wala anayepaswa kupewa kinga kutokana na cheo, taaluma, dini au hadhi yake katika jamii. Soma pia Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

    Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT. Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Katambi kuhusu Kesi ya kupotea kwa Polepole 'Vyombo vya usalama vinaendelea na upelelezi'

    Akijibu swali la mwandishi kuhusiana na habari za kupotea kwa aliyekuwa Balozi wa Cuba Humphrey Polepole, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi amesema kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea na upelelezi na uchunguzi wa kina juu ya kesi ya kupotea kwa Humphrey Polepole ili kubaini...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Kuna mambo ya utekaji yanafanyika na raia wenyewe kwa uhasama na chuki

    Katika mahojiano na ayo TV, Waziri wa Mambo ya ndani, Patrobas Katambi, ameeleza kuwa matukio mengi ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa nchini yanatokana na migogoro ya kibiashara, uhasama wa kijamii na uhalifu wa kawaida wa raia kwa raia, na si maelekezo ya mamlaka za serikali kama...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Wapinga Maendeleo wananitishia kuniburuza Mahakamani, kuna Mzee anaenda kunishtaki

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akizungumza na Makundi ya Walinzi wa amani katika jamii, Polisi jamii, Wazee, Sungusungu, Wenyeviti wa Mitaa, Mabalozi na Wenyeviti wa Vitongoji vya Shinyanga Mjini, amesema serikali itaendelea kupambana na viashiria vya uvunjifu wa amani huku...
  9. N

    JamiiForums Tanzania LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asanteni wana Dar es Salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku nyingine, ishara nchi haiko kwenye amani

    Asanteni Wana Dar es salaam kwa kutomtii Katambi, hamjafanya biashara kama siku zingine, ishara nchi haiko kwenye amani. Another loss kwenye utawala wa Samia hadi hii ifirisike.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Katambi: Ambaye anaona sina Mamlaka tutakutana kwenye sheria

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi wakati akifanya mahojiano na UTV Julai 1, 2026, amesema maandamano yoyote yanapaswa kufuata taratibu za kisheria ili yarasimishwe na kuwekwa katika mazingira salama. Akijibu swali kuhusiana na kifungu cha sheria katika Katiba inayompa Waziri wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru Patrobas Katambi ndio waziri wa hovyo kupata kutokea

    Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa. Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania wengi ambao hawana vitambulisho vya Nida kisa tu wamezaliwa kwenye mikoa ambayo inapakana na nchi za...
  13. JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria

    Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria. Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania. Badala yake katambi kamvua nguo Samia hadharani. Je, Matendo ya Katambi ni Maagizo ya Samia. Au kamuweka njia panda?
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Patrobas Katambi: Kitambulisho cha NIDA sio taarifa binafsi. Ni Public na ndio maana mnasheherekea Birthday

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho si taarifa binafsi. Soma Pia: Waziri Katambi: Wamiliki wa Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge...
  15. JamiiForums Tanzania Katambi: Uhuru na demokrasia bila mipaka ni fujo, tusifiche uhalifu kwenye siasa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema zuio la mikutano ya hadhara halilengi kukiuka misingi ya demokrasia nchini, bali kuimarisha ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa demokrasia bila mipaka ni fujo. Katambi amesema hayo leo, Juni 29, 2026, katika mahojiano na Shirika la...
  16. JamiiForums Tanzania Niyegira: Waziri Katambi anatakiwa kujikagua kuhusu kauli yake, ameiweka Serikali katika hatihati ya kurudishwa nyuma

    Mchambuzi wa Siasa, Paternus Niyegira aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Kituo cha Crown FM, Juni 26, 2026.
  17. JamiiForums Tanzania Ahmed Kombo: Waziri Katambi kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi

    Mwanaharakati Ahmed Kombo, ameahidi kutoa zawadi ya Mbuzi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ikiwa ni pongezi baada ya hatua ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa "Waziri kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi. Niko tayari kukabidhi zawadi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CCM mnazuia mikutano ili mfanye siasa kwa uhuru kupitia ziara mtakazoziita za Kiserikali?

    Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio! Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili...
  19. JamiiForums Tanzania Agizo la Patrobas Katambi ni batili Kikatiba na kisheria. IGP Wambura, ROCs na OCDs zingatieni hili: "za kuambiwa, changanyeni na zenu"

    https://www.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Tanzania awamu ya tano aliwahi kuwaonya viongozi na wanasiasa wenzake pamoja na watumishi wa umma kwa ujumla kuwa, "...siku zote kila unalosikia au kuambiwa katika maisha usilibebe tu hivyo hivyo kama zuzu na kulifanyia...
  20. JamiiForums Tanzania Tamko la Waziri wa Ndani Patrobas Katambi la kuzuia vyama vya siasa kufanya siasa huenda likaleta athari kubwa ndani ya nchi

    Inawezekana mazingira ya kisiasa yakawa na athari kwa hali ya usalama kwa namna fulani, nchini tanzania. Mazingira kama haya huenda yakachochea maandamano yanayoratibiwa mitandaoni na watu wasiofahamika. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Tamko hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…