Ujumbe kutoka kwa Baba Askofu Dr Benson Bagonza PhD..
HONGERA CHADEMA, lakini...
Nawapongeza wana Chadema kwa kumaliza uchaguzi. Nawapongeza viongozi wote walioshiriki, wakashindwa na kushinda. Mlichokozwa, hamkuchokozeka. Waleteeni watanzania fikra mpya, hoja mpya na siyo Tanzania mpya...