parking

Parking is the act of stopping and disengaging a vehicle and leaving it unoccupied. Parking on one or both sides of a road is often permitted, though sometimes with restrictions. Some buildings have parking facilities for use of the buildings' users. Countries and local governments have rules for design and use of parking spaces.

View More On Wikipedia.org
  1. mahindi hayaoti mjini

    Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  2. hencelshadetz

    Car parking shades

    Tunatengeneza car parking shade za kisasa kwa bei nafuu
  3. hencelshadetz

    Tunatengeneza Car parking shades

    Ilinde gari yako kwa kuipark sehemu salama pia hizi car parking shades huleta muonekano mpya wa nyumba yako au ofisi yako tupigie kwa namba 0687897026/0767583628
  4. J

    Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  5. Mparee2

    Treni ya SGR angalieni upya gharama za parking za magari

    Kwanza niwapongeze kwa huduma zetu nzuri za usafiri wa treni, hata hivyo kuna hii changamoto naileta kwenu; Kuna baadhi ya vituo vipo nje kabisa ya Mji, mfano; MOROGORO, Pugu nk na hakuna usafiri wa kueleweka zaidi ya bajaji; sasa mtu anakwenda na usafiri wake asubuhi ili jioni akirudi apate...
  6. BigTall

    Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  7. Grand Canyon

    Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  8. Samia atosha tukutane2030

    Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama "parking"

    Hello! Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara...
  9. FRANCIS DA DON

    Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  10. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  11. BabaMorgan

    Wakati sisi tunalalamika kuhusu parking wewe unalalamika kuhusu mwendokasi

    maisha ni kuchagua.
  12. JanguKamaJangu

    TAMISEMI: Mfumo wa kusoma madeni ya parking ulipata hitilafu ukashindwa kutuma ujumbe kwa wenye magari

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo. Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
  13. T

    Wakusanya tozo za parking Jijini Mwanza wala Rushwa wakubwa mtaa wa Kalutta

    Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
  14. mahindi hayaoti mjini

    Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  15. mahindi hayaoti mjini

    Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi, Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli Yaani kwa siku ni lazima...
  16. P

    KERO Nimebambikiwa parking fees na TARURA

    Habari wadau, Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo. Mimi ninafanya shuguli zangu nchini lakini pia huwa Nasafiri sana. Sasa tangu mwaka jana 2023 mwezi wa 5, kuna gari langu nililipark kwangu...
  17. A

    KERO Wizi unaofanywa na makampuni ya parking!

    Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala utakutana nazo bills! Hiyo ndiyo hali halisi ya wizi huu unaofanywa na kampuni ya parking na...
  18. L

    Ushuru wa Parking kwenye fukwe za Dar Ni kwa Sheria ipi?

    Habari wadau. Kuna huu ushuru ambao watu wenye magari wanalipishwa wanapokuwa wanaingia kwenye fukwe za bahari kwa maelezo kuwa ni ushuru wa halmashauri. Nimemuhoji mmoja wa watoza ushuru ila hapa Mbezi beach ila majibu yake hayaeleweki. Mi ningependa kujua, huu ushuru wanaokatisha kwa...
  19. C

    Gari yangu Gx110 inakita kishindo wakati wa kutoka parking P kwenda kwenye D na R

    Habari wataalamu, Nina tatizo lina nisumbua kwenye gari yangu grande mark2 (gx110) na linaninyima raha kwakweli, wakati wa kutoka P kwenda D na R nasikia mkito unasikika sehemu ya nyuma, nilipeleka kwa fundi akabadili bushing zote za nyuma na CV joint (cross joint) pembeni ya diff lakini...
  20. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
Back
Top Bottom